Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,366
- 161,496
Hayapita tu mamaa
Hayapita tu mamaa
Ukweli mtupuUtaachaje kujua ka wapendwa jamanii, halafu sio wanawake tu huwa Wanasema kosa moja hufuta mema tisini na kenda. Kama mtu hajali ni hajali tu awe mwanaume au mwanamke
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hawakumbukagi ya nyuma et!!Bora unaejitambua na kuelew unapendwa ila kumbuka kumpenda pia anaekupenda .ujue wanawake shukran ndogo San ,unawez mjali kwa kumpa kila kitu ila cku ukishindwa kumnunulia vocha ndo utajua mwanamke ni nan katika ii dunia
less expectations = less disappointment