Wewe mdada uliyekaa mbele yangu ni-pm tafadhali

Wewe mdada uliyekaa mbele yangu ni-pm tafadhali

sasa bado hamjashuka...?

mkuu dogo hata id kashindwa kuchungulia?

dah.. si angejifanya kadondosha nauli basi!!! vijana wa leo wanawaza nini hata mbinu za medani hawazijui...
 
mkuu dogo hata id kashindwa kuchungulia?

dah.. si angejifanya kadondosha nauli basi!!! vijana wa leo wanawaza nini hata mbinu za medani hawazijui...

dah! Niliichabo sana, lakini wapi, ila uzuri aliiona post akiwa anashuka akachungulia nyuma ya pale alipokaa akaniona wakati huo mshua alitangulia, bac akani_pm, ila nimejipa mtihani!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom