Wewe mdada uliyekaa mbele yangu ni-pm tafadhali

Wewe mdada uliyekaa mbele yangu ni-pm tafadhali

sirluta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
6,324
Reaction score
2,494
Nipo kwenye daladala kuna mdada mrembo amekaa mbele yangu namuona yupo bize kwenye MMU, umevaa kikoti cheusi na umelipiwa nauli na mtu anayeonekana ni mdingi wako, ila mdingi anavyotoa macho inawezekana ni mtata sana. Unatumia simu aina ya galaxy S4. please ni-pm kabla hujashuka.
 
Wewe unataka mke wangu akupm huna adabu kabisa
 
Si bora umwambie tu hapo hapo acha uwoga mtoto wa Kiume....
 
Wazee wa #teamwekapicha wako wapi?
images.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom