Wewe kama mwanaume Unaweza kuvumilia?

Wewe kama mwanaume Unaweza kuvumilia?

Kaka nimeweza kuacha kutomtafuta sasaiv anachofanya ni kulike status kila nitakayo weka anakuwa wa kwanza ana like na kutuma emoj za vicheko na makopakopa nachomokaje hapo 😂
😂😂Msahau kabisa futa na namba.
 
Jifunze kuwa mgumu mdogo wangu Mwachiluwi

ila kama ndio huna uzoefu na hizi mambo utahangaika sana

👇👇👇👇👇

Ona huyu anavyonihangaikia kukopa, nilikua namwelewa sana kipindi cha nyuma
Screenshot_20250313-015618.jpg
 
Hellow

Nilimuonaga mdada mmoja huko kwenye mahangaiko kwenye kasemina fulani ila tupo nae sehemu ila sasa ni mgumu balaa yapata mwaka sasa tangu numtongeze ila jibu sipewe nazungushwa na nina mpenda sana kibaya zaidi anataka mimi nisolve changamoto zake ila mimi jibu hanipi kabisa

Nimewekeza pesa nyingi kuna muda nampa mpaka akiba yangu ila haoni kama nampenda nimechoka nifanyeje

Nilimfwata baada ya kusikia washikaji kuwa wanamsema ni mgumu sana so na mimi nikazama kimya kimya ila sasa moyo unanipelekesha na mpenda sana ila jibu hanipi

Nifanyeje ushauri wenu mwenzenu nimekamatika kwa huyu bidada kitoto cha 2000
Mrejesho kuhusu huyu binti Mwachiluwi
 
Back
Top Bottom