Tanzanian Dream
JF-Expert Member
- Jun 10, 2024
- 297
- 2,052
Recently nimepokea taarifa mbaya kutoka kwa jirani wa mfanyabiashara mmoja!ambaye amevamiwa usiku na watu wenye silaha,wakamcharanga mapanga,wakampora hela na kutokomea kusikojulikana!..huyo jamaa anamiliki maduka Kama sita ya huduma za kifedha,anapofunga maduka yake huwa anakusanya mpunga wote na kuondoka nao nyumbani!!!..hili ni kosa kubwa sana wafanyabiashara wanalifanya....
Wadau,kuna level biashara ikifika "no way,you have to understand security issues" iwe physically au spiritually.
Huu uzi ni kwa ajili ya mfanyabiashara ambaye anamzunguko mkubwa wa fedha kiasi cha kuhatarisha usalama wake,hebu fikiri mtu anakunja mahesabu(turnover) 300M,hata even 30M,ni risk kiasi gani,kuna jamaa wana mtaji hata haufiki 5M,wamefatwa na bunduki!hii ni live naona kwa macho yangu.
Hii tanzania siku zinazokuja itakuwa kama sauzi au Mexico,yaani hata biashara ya mtaji wa 10M inabidi utembee na Ak47!,hebu fikiri,kuna mtu ambaye yuko tayari akuue ili akuibie 1M,2M...hii haingii akilini..isee sijui tunaelekea wapi!....
anyway
kuna usemi huu wa kiafrica unasema...
"One who causes others misfortune also teaches them wisdom"
Matukio Kama haya ijapokuwa yanatuachia maumivu makali lakini kwa upande wa pili,yanatukomaza,yanatuachia mafunzo ambayo huwezi kuyapata popote,isipokuwa kwenye business ground.
Kuna watu wamejiapiza hawatakuja kufanya biashara tena baada ya kupigwa matukio in their very early days na kwa kuwa hawakuwa na msuli,walipotezwa mazima,wanasema 90% ya biashara zinazo anza hufa ndani miaka mitano ya mwanzo,najua sababu zipo nyingi lakini kukosa ufundi wa kukwepa mishale ya kimwili na kiroho ni moja ya sababu kubwa na hasa kwenye hizi nchi maskini.
Mambo matano ya kuzingatia
Sasa nataka nieleze namna gani tunaweza kuwa kwenye safe side,ili tusiwe wahanga wa matukio Kama haya,janga kama hili lililompata mwenzetu linaweza kukupata na wewe,umejipangaje?Let us share some five insights on this matter!
1. Do business like banks
Ulishawahi kuona brach manager anakusanya hela za bank na kuondoka nazo home!that is impossible,hii ni risk kubwa na kwanini uhatarishe maisha yako kwa ajili ya hela ambayo ukiipoteza unaweza kuipata tena,hela inatengenezwa ila huwezi kutengeneza roho.
"Your profession is entrepreneurship,you are not security guard"...so weka mifumo ikulinde.
2.weka ulinzi wa kimwili unaoujua wewe
iwe ni masai,iwe wale walinzi wa makampuni,weka cctv camera, install electrical wiring,ukiweza weka hata sniper Kama wanavyofanya baadhi ya mabank,Kama Kuna technolojia yoyote ya ulinzi itumie,nunua safe kubwa,ijengee sanduku la chuma,funga kufuri za alarm,kata bima ya theft, simply do whatever it takes to insure yr safety,then acha mzigo humo ndani,nenda nyumbani kalale!
3.install divine protection
"Unless the LORD guards the city,it's security forces keep watch uselessly"
Wadau hata uweke ulinzi wa namna gani kimwili,iko siku jamaa watakuotea tu!utaingia kwenye 18 zao na utapigwa tukio huta amini!
Binafsi nilipigwa matukio mengi sana huko nyuma,lakini tangu nilipofunguliwa hii code...naskia tu matukio kwa wenzangu.
namna ya kuweka ulinzi wa kiroho kwenye biashara yako inategemea na imani yako na nilishaeleza kidogo kwny uzi wa 7 natural laws.
4.Tengeneza emergency fund
Hii kitu ni muhimu sana kwa mfanyabiashara,kuliko mtu aliye ajiriwa,nilisema chukua thamani ya biashara yako then + yr cost of living ya miezi at least mitatu,total yake ndio iwe emergency fund yako,iweke bank au kwny liquid asset yoyote,likitokea la kutokea unakuwa huna presha na najua wapi pa kuanzia.
5.do business like an ocean
unajua kwanini bahari haikauki?,kwasababu haitegemei single source of water,hakikisha na wewe una visible income(maji ya mito) na invisible income(chemchem)
usitegemee single source of income.
Biashara yako ikifika kwenye peak ni wakati wa kuchepukia kwenye some other low risk businesses/investments,jifunze kutengeneza....
invisible,untouchable and hence unstealable wealth.
mwizi anaweza kuiba kile anachoweza kukiona na kukishika,leo ukimteka Elon musk ukitegemea upate $ 300B,that is big failure,since his wealth is not in real money.
Hitimisho
Skills muhimu zaidi kwa mfanyabiashara ni kujua namna ya ku handle challenges ambazo zinaweza kumwondoa kwenye reli mazima, mfanyabiashara lazima ujitengenezee mifumo thabiti ya kiusalama physically and spiritually.
Akili ni ku survive the same challenge iliyowaangusha wengi.
Kama Kuna njia ambayo sijaitaja au Kama una experience yoyote ya matukio Kama haya...plz share na sisi hapa jukwaani,I'm eager to hear from you.
Kwa leo ngoja niishie hapa.....
Till next time
I'm your fellow
Invisible wealth builder!