Wewe jibapa wewe

Wewe jibapa wewe

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
370,858
Reaction score
858,733
IMG-20170502-WA0000.jpg
 
Haaahahahaha!huyo jamaa ameshapiga ngapi hapo?maana mpaka aanze kulishangaa jibapa hilo kuna vingine kadhaa kichwani![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Haaahahahaha!huyo jamaa ameshapiga ngapi hapo?maana mpaka aanze kulishangaa jibapa hilo kuna vingine kadhaa kichwani![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Anaona kama maandishi yamegeuka halafu yanacheza mziki
 
Anaona kama maandishi yamegeuka halafu yanacheza mziki
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Daah hiyo ndiyo kawaida ya jibapa a.k.a Lusekero !Ile nembo ya WANAUME WA SHOKA WAJENGAO BILA KUCHOKA unaweza kuiona iko upside down.
 
anamwambia yule jamaa aliyeinua mikono kwenye logo "naaam!!, we kweli mwanaume"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom