Wewe Baba Yako Mdogo Angefanyaje?

....Potelea mbali utu uzima wake wa Miaka 54, Mkuu??
Nilidhani ni Wanaume tu ndio Hawazeeki katika mambo haya na Mzee wa miaka 70 anaweza kumtia mimba binti wa hata miaka 15....Kumbe wamama zetu wa karne hizi sasa wamecharuka kufukuzia Mikurunge hata wakiwa na Miaka 50?? [emoji5][emoji5]
 

Mkuu kina mama huwa wanatulia kama wanasehemu kidogo mzee ana poza, sasa kama mzee mgonjwa ujue mama anapata wazimu, mbaya zaidi akutane na vijana wanasimamia kucha, wanaingia chumvini lazima arudi tanga kwa dada zake waliendeleze libeneke. Labda swali jingine , mama anapata ulabu? kama anapata basi ndio maana tatizo lina kuwa kubwa.

Kuna bibi namjua anakimbilia 60, yeye anapata masanga, akipata balaa lake anataka vijana. ni hatari sana.
 
Siku ikipatikana katiba mpya huyo bibi lazima arudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…