...Ndio wanavyofanya Mkuu hata kila mtu anapuyanga kivyake vyake.Kiapo cha ndoa kinasema mtaishi kwa shida na raha.
Baadhi ya Wanawake huwa wanashindwa kuishi kwenye kipengele cha shida. Kwenye kipindi cha shida ndio tabia zao halisi huonekana. Hivyo alichokifanya Mke hutokea sana kwa wale ambao waume zao ni wagonjwa wa muda mrefu au walioachishwa kazi hivyo simshangai. Ila wanaume wanaofanyiwaga hivi huwa wakipona au wakija kupata kazi 'Revenge' zao huwa sio za kitoto maana huwa wanapataga machungu sana.
Halafu kwa umri wa hao Watoto mbona ni wakubwa tu!. Wanatakiwa waanze kujitegemea na wamsaidie Baba yao, huyo wa kike nae ana umri wa kuchumbiwa.
Wee aruke nani kama masai, tunaruka wote😂 temper yangu iko mbali sana sometimes, wala sikupanic na huo uchokozi wako. Jpili njema pia File la siriHa ha Haaa.....
nikitakaga kukuchokoza (tunaita kutoa nyoka pangoni)......
kuna tu thread flani lazima nikuchape nato...
unaruka juu kama masai kisha mm napita vile....
jpili njema.......
Ingekua hesabu za log je?Nimejaribu kuelewa stori lakini wapi ..
....Inawezekana Mkuu, lakini kuna la kufikirisha hapo...Mwanamke ana Miaka 54 hata Siku Zake zimekoma na tayari yupo kwenye 'Pumziko la Meno![emoji16]. Menopause, bado ana Genye kiasi cha Kutosa Watoto wake mwenyewe wa Kuzaa kufuata 'Kuni'??[emoji16]Baba mdogo wako Hana uwezo wa kumlaa tenaa mama alivumila akachokaa akachepukaa akashikwaa hata akisema arudi hapoo aishi nae hawezi kuvumilia kukaa bila kukunwaa huyo Mama bado ana ujana kiufupi ngono kwake ni kama chakula anaogopa mzee siku anaweza mkatakata mapanga bure maana watu wakimya nao noma sana.
Unasema wamekuwa michepuko wa wanawake wenzao Ina Maana wanasagwa ama?
J
Bunch of loosers....Inawezekana Mkuu, lakini kuna la kufikirisha hapo...Mwanamke ana Miaka 54 hata Siku Zake zimekoma na tayari yupo kwenye 'Pumziko la Meno![emoji16]. Menopause, bado ana Genye kiasi cha Kutosa Watoto wake mwenyewe wa Kuzaa kufuata 'Kuni'??[emoji16]
Akili, Matope?
Miaka 54 ameziona ngapi??
Baba mdogo amekubali yaishe kwa kuona Xmkewe ni wa Kumhurumia tu hasa unapoangalia Historia ya ukoo Wao.... Ukiona Mabinti Sita wa Familia moja Wanaolewa na kisha kuachika kila mmoja kwa waKati wake Jua kuna Tatizo la Malezi hapo!! Epuka kujiingiza. Bahati Mbaya yake Baba Mdogo hakulijua hili...
Hata Mimi nimewaza Kwa sauti mkuu siku ya msiba atajiliza sana na kuomba michango kwa mashost zakeKwenye msiba wa mumewe anaweza kulia kuliko wote.
Hahaha mchango kwa mashosti.hata Mimi nimewaza Kwa sauti mkuu siku ya msiba atajiliza sana na kuomba michango kwa mashost zake
Wanawake Wana vituko Sana!
...Umesema maneno ya Uhakika. [emoji120]huyo mama ni mzee hana mahari pakwenda ni swala la muda tu, kumbuka wanaume wanaweza kukutamani ukiwa kwenye ndoa yako wanajua wanakutumia tu kwa muda wanaotaka alafu unarudi kwa mume wako, wanaume hao sio waoaji na hata wakitaka kuishi na mwanamke hawawezi kumchagua mwanamke anayechepuka kwa sasa huyo mama labda anaona anasehemu ya kwenda lakini mwisho wa siku wote watamtupa hata hao ndugu wanaweza kukubeba kwa muda mwisho wa siku wanaanza kukusema ulimkimbia mume labda kama umeoa familia ya kishenzi isiyo kuwa na adabu ndio maana ni muhimu sana kuchagua mahari sahihi pakwenda kuoa
Utakuwa ni slow learner.Nimejaribu kuelewa stori lakini wapi ..
huku ndio kuruka stageMiaka 54 ya huyo mama bado hadi ana michepuko ? Kweli age is just a number lol, ilikua ni muda wa kutulia na kumuuguza mumewe na kusubiri wajukuu ila yeye analeta mambo ya ujana wakati ni mtu mzima.🤔
Miaka 54 ya huyo mama bado hadi ana michepuko ? Kweli age is just a number lol, ilikua ni muda wa kutulia na kumuuguza mumewe na kusubiri wajukuu ila yeye analeta mambo ya ujana wakati ni mtu mzima.🤔
....Inawezekana Mkuu. Lakini pamoja na kuwa na Miaka 54 'huduma' hiyo iwe ni moja ya sababu za kuitafuta nje kiasi cha kuitosa familia yake aliyoishi nayo kwa zaidi ya Nusu ya maisha yake hapa Duniani?
Genye tu?...mmmmm, inawezekana...!