Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,332
- 46,117
....Inawezekana Mkuu. Lakini pamoja na kuwa na Miaka 54 'huduma' hiyo iwe ni moja ya sababu za kuitafuta nje kiasi cha kuitosa familia yake aliyoishi nayo kwa zaidi ya Nusu ya maisha yake hapa Duniani?nimepotea mkuu.sijajua mtu mwenye stroke anawezaje kuriamsha dude la namna hiyo.
By the way,huyo mama kuna huduma mhimu anaikosa hapo kwa mzee.umeshasema ana stroke na kisukari.
...Ndio anachoshangaa baba yangu mdogo. Ameanza hata kuamini baadhi ya ndugu wanaposema 'Sio Bure, atakuwa Amerogwa Mkeo!'....[emoji853][emoji853]Duuh kuna watu wana vichwa aisee yani hawajaelewa hii story et...
Niseme tu jasiri haachi asiri, miaka 54 tena mwanamke mwenye mitoto mikubwa kabisa hata aibu wala kujistukia hamna. Ajitahidi walau awe anawapa hi hata kinafki tu.
So sadHuyo mwanamke alikua chui muda tu alovaa ngozi ya kondoo sasa amechoka kupretend. Wamuache tu aishi maisha ayatakayo uzee ukimshika au maradhi ndio akili zitamrudia.
Na niwapongeze watoto kwa kuweza kujua yupi mkosaji na kuamua kusimama na baba yao. Watoto wengi hua hawajali kubalance story moja kwa moja wangemuona mzee wao mbaya anataka kumuua mama na mwisho wangemchukia mzee.
Nyie kina mama mna akili basi......Miaka 54 ya huyo mama bado hadi ana michepuko ? Kweli age is just a number lol, ilikua ni muda wa kutulia na kumuuguza mumewe na kusubiri wajukuu ila yeye analeta mambo ya ujana wakati ni mtu mzima.🤔
JMbona inaeleweka ngoja ni summarize anamiaka 62 na mkewe 54 wameishi miaka 31 ya ndoa na kujaliwa watoto 4 wakwanza akiwa na miaka 29 ... sasa wameachana na mkewe nearly 3 years now, mkewe karudi kwao tanga anadanga tuu hana cha maana anachofanya?? Hakumbuki hata watoto wake nyuma
Afanyaje????
Mkuu sitaki matusi ujue, nani anaweza kuwepo sasa? Ntakuzingua , Wanawake wengi tu wanajiheshimu bana, ni hao wachache tu vichwa vibovu usigeneralize.Nyie kina mama mna akili basi......
unaweza kuta unainamishwa na boda boda....
unamuacha mumeo
sio ww nimetoa tu mfano.....
Lkn hata we unaweza kuwepo
Ni kweli Mkuu Unforgetable. Tatizo limeanzia Mbali.Kwenye familia zetu hizi kuna mambo mengi sana,huwezi jua ukute kuna influence ya mambo ya kimila o kishirikina we unadhani ni sawa wanawake wote 6 kwenye familia moja waachike
Na ukute huko Tanga anasema amefiwa mume.Ukichunguza chunguza unaweza kuta hata mzee amegawana watoto na kidume mwengine.
Ila Mzee kafanya jambo zuri.
...mmm, Sijui, lakini sio siri kuwa watoto wanajitambua na wanampenda sana baba yao na wako pamoja katika maumivu haya!!Pole yao sana...
Ubinadamu kazi sana...
Usikute anawasiliana na watoto zake na kuwaambia wasimwambie baba yao au mtu yoyote...
Ha ha Haaa.....Mkuu sitaki matusi ujue, nani anaweza kuwepo sasa? Ntakuzingua , Wanawake wengi tu wanajiheshimu bana, ni hao wachache tu vichwa vibovu usigeneralize.