sinajinasasa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 2,989
- 4,171
Kwani rangi yake inakuathiri nini? mbunye yake ina rangi gani....
Atakwambia umpime mkojoLabda nimtag Dr. Kingwangalla anaweza kukusaidia
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
smuelew anamaanish nin hata mimi[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kumbe alishamuanzishia uzi sasa mapenzi yote aliyoyanadi hapo yameondoka kwa sababu ya weusi. Lol
Ana kingine sio kure.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]smuelew anamaanish nin hata mimi
Sent from my Android phone
........
.. na jamii ya watu weupe hapa nao wamekuwa weusi.
inaonesha anapend kweny raha tu, kwny shida hapend[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hatari sana hii.
Usiogope kakaHabari,
Hivi karibuni tulipata uhamisho na mke wangu wa kikazi kwenda eneo jingine kikazi. Hali ya hewa ya eneo hili tulipohamia ni joto na jua kali pia maji ya hapa ni yenye chumvi. Jamani mke wangu ni mweupe mfano wa Sepetu Wema umuonavyo au Chekibudi lakini baada ya kuja hapa ule weupe unatoweka na anakuwa mweusi na jamii ya watu weupe hapa nao wamekuwa weusi.
Hali hii inanifanya nikose amani napomtizama my wife, je nifanye nini mke wangu weupe urudi maana akienda kule tulipokuwa kikazi kabla ya kuhamishiwa hapa anakuwa mweupe ila akija huku anabadilika.
Msaada
Habari,