Weusi kufulia baadae sana

Huu wimbo nimeusikiliza zaidi ya mara mbili lakini sijaona uzuri wake
 
Wanapewa promo halafu na wao wanajiona wanaweza kweli.hamna kitu hao jamaa hawana kbs fleva yaani kama wanapiga story tu kijiweni
 

Fid anasema, kitacho niangusha sio kusukumizwa mton, ila kushndwa kuogelea na.kupotea msinione.

HILI NGOME YEYE NA YUNG WAMELITENDEA HAKI SANA......
 
wazee wa kucopy nyimbo za mbele wanafanya modeling ya beat na nyimbo za mbele
 
jamaa wanajitahidi kwa kwel. Good music family (GMF) watafika mbali. Big up weusi!!!
 
Adharusi unapenda mbinuko wewe..
Lakino ni mzuri sana....
Anaitwa Haika Marealle
 
Last edited by a moderator:
Huu wimbo nimeusikiliza zaidi ya mara mbili lakini sijaona uzuri wake

Anasema "Utanipga deki nikikudekeza maisha safari ndio kuwekeza

Mara nataka iPhone mmh nikakanunulia apple
Kakataka out nikakatoa nje kakapunga upepo nikakaimbia XO

Watoto wanapenda asali watoto awapendi ukari awapendi safari maisha kufika mbali na tena kwa msoto mkali
I love you wa ubani "
 
Kuna movie moja ya Nigeria beat ya wachoma mkaa "sisi chapa lingine" imesikika sana,sijui wachoma mkaa wameiga ile beat au wanaijeria
 
hongera sana weusi. Mtafika mbali coz mnajua kujipanga vizuri. Kama wanakopi wao si wakwanza na hawatokuwa wa mwisho. La msingi naenjoy mziki mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…