Hawa jamaa wako vizuri, kila ngoma wanayotoa kali. Nasikiliza wimbo wao mpya 'Safari', ni nzuri kwa kweli. In short, game ya Bongo wanaiweza, watasavaivu muda mrefu wasipotengana!
Tatizo siyo kupotea! tatizo je unapiga show na unaingiza hela kiasi gani! unaweza ukawa na jina kubwa na kila mziki unaotoa ni mkali ila mfukoni huna masimbi huo ni ujinga ulio tukuka!