kende
JF-Expert Member
- Dec 2, 2013
- 3,527
- 1,669
yule lord eyes balaa alilolifanya humo ni hatari tupu!amennikumbusha enzi za goma lao machafuko kipindi hiko wako close na kikosi cha mizinga!.....lord eyes ana flow ya kibaba ni unga tu unampoteza!...hawa weusi mtu ambaye personally simuelewi nikki wa pili!ajikite katika management ya kundi lao ila siyo michano!wakitaka wazidi kutisha wamrudishe ibra the hustler
Unachuki binafsi na Nikki 2, binafsi namkubali sana