Weupe wanahusudu vimbaumbau kama huyu hapa

Weupe wanahusudu vimbaumbau kama huyu hapa

misnomer

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
203
Reaction score
69
In most African countries women do not aspire to the emaciated skinny look. In Nigeria, brides-to-be attend "fattening rooms" and women in Mauritania tie their ankles to ensure maximum water retention. Men in DRC boast of attracting mwasi wa kilo (women of weight).

A recent beauty contest in South Africa has led to a debate about whether large is lovely or thin is in. On the catwalk, Uganda was not be represented as all its 100 candidates were deemed too big around the hips, and the country was deeply insulted.

"Ugandan girls too short, too broad," said a newspaper headline inKampala. "Ugandans do not want western standards of beauty. They want something they can relate to. If you are skinny, people might think you have Aids", said designer Sylvia Owori.

000000120258-anna_getaneh-fullsize.jpg
 
Nasikia hawa walimbwende huwa diet yao kama asubuhi kifungua kinywa wanakunywa chai na pilipili hawapendi wanenepe kabisa!
 
Nasikia hawa walimbwende huwa diet yao kama asubuhi kifungua kinywa wanakunywa chai na pilipili hawapendi wanenepe kabisa!

AAAAAAAAAAAfuuuu mchana Matango kwa soda.............. na jioni wanamalizia kwa BISKUTI KWA TOGWA
 
Dah!haya ndio madhara ya kushindwa kuendeleza vipaji vya watoto ,Unakuta limtu limefutuka balaa linaamua kujikondesha kisa kajazwa ujinga kua umic unalipa jumlisha na kumegwa ,kutukalia uchi majukwaani na vioja kibao.Nahata wakifanikiwa kujikondesha ngozi zao huwa mbayaaaaaa ila ukibahatika mwembamba wa asili na ukute anayaweza aaaaah!! ni noumerrrr.
 
Kitu lazima kiwe na VAS (Value Added Services) bana sasa huyo mwembamba utashika nini hapo jamani hahahahahaha
 
ECHINYAMANYAMA,HEEE!!...ECHINYAMANYAMA *2,Ndembwe tamu sanaa,kuna joto la kutosha,siyo unamperuzi mtu ana vimbavu vinachoma ka miiba ya samaki...African mamas,never loose your courage!
 
Wadada wa kiafrika wazurii bana wee aaah. Wanene ni zaidi lakini hata wembamba lazima wanakuwa na pa kushikilia behind aka astern.
 
Wazungu wanapenda wanawake wembamba kwasababu ya kuthibiti matumizi [budgetary considerations] kwani hao vimbaumbau hawali sana ukiwafananisha na wanawake wanene.
 
ECHINYAMANYAMA,HEEE!!...ECHINYAMANYAMA *2,Ndembwe tamu sanaa,kuna joto la kutosha,siyo unamperuzi mtu ana vimbavu vinachoma ka miiba ya samaki...African mamas,never loose your courage!

Ahh ha ha ha ha, kama nini?? miiba ya samaki!!!??? ha ha ha, ....hivi ile ya samaki huwa ni miiba au mifupa?
 
watoto namna hii watamu sana kucheza nao sita kwa sita, very flexible utaenjoy...trust me

Lakini Sambusa hazina nyama za kutosha, akikukaribisha mlangoni utapita bila kugusa huku na huko, utakutana na kona za mifupa utakoma!
 
Haaa haaa haaa..kweli mmekutana wote hamjuia nini maana ya "VARIETIES"..haaah haaa!! unajua utamu wa bungo ajuaye ulimi.. nadhani wote pia hamjui "FLEXIBILITY!"... Hao watoto wembamba acha kabisaaaaa mazee...si mchezo ,.. no kukinai, no kuchoka.. ni noumeeeer!!! Jaribu uone utakuja kubadilisha comments zako zote hapa.. Ila sio unapaparikia mingarangara imeshachoshwa na mizigo mizito!!?
 
Jamani hapo juu kuna comment inaonekana mie ndo nimeandika na sikumbuki nimeandika lini au kuna capitano wawili humu?
 
Back
Top Bottom