Westgate mall na issue ya ICC

Westgate mall na issue ya ICC

Joined
Jun 27, 2012
Posts
17
Reaction score
7
wanajamvi. Leo hawajaingia bado ndani ya chumba hiki lakini wakiingia ntawafahamisheni nini wamezungumza, ila nimesikia pia kutoka nje kwenye dilisha la nyuma kuwa eti kilichotokea kule kenya ni mpango maalumu wa kuishinikiza kenya kutojitoa katika mahakama ya ICC kama ambavyo walikuwa wakitaka kufanya hivyo.

na wengine wameenda mbali zaidi wakihusisha pia na kauli zilizotolewa na nchi wanachama wenyenguvu ya ushawishi kuwa endapo mtajitoa ICC basi hatutawasidia kuhusu al-shabab. Swali ambalo mmoja alihoji eti Al-shabab wanafadhiriwa na muingereza na marekani?

kama ndio juhudi za marekani katika kupigana na kutokomeza ugaidi ni mchezo wa kuigiza? Kama la je kwa hili wanasimamia wapi?
ikumbukwe pia katka madai yao ya msingi kuhusu hili la ICC Kenya kupitia mawakili wa serikali na yule anayemtetea makamu wa raisi waliishutumu sana Marekani juu ya kukataa kupokea ombi la kujitoa huko je marekani hapa inakwepa?

al-shabab ni nan hasa juu ya nguvu ya Marekani katika vita dhidi ya ugaidi,na kama wanaguvu sana kuliko Marekani je wanafadhiriwa na nani? Walio iteka Westgate ni wamarekani wakiongozwa na Mwanamama ambaye ni mwingereza na baadhi ni wakenya swali hapa ni je al-shabab ni kutoka nchi hizi tatu tu au na somalia wapo japo taarifa za polisi kutoka serikali ya kenya hazijasema?

Kama al-shabab si wasomali magaidi hawa wanatoka nchi ya Marekani,Kenya na uingereza. Kama mataifa haya yanampango wa kutokomeza ugaidi yaanze kujipima yenyewe..

WANAJAMVI HAYA NDIYO NILIYO YASIKIA KUTOKA NJE NA SI YA NDANI NIMEYALETA HAPA KWAKUWA NAHISI KUNAUKWELI NDANI YAKE
 
Nitarud baadae labda nikiisoma tena nitaelewa!!
 
Huyu jamaa kama mdada wa uswahilin vile,anajarbu kuelezea mawazo yake haba kwa GTs,kama bdo unausingiz lala ukipata akil japo ya kuombea maji ndo uweke uzi huku,kuwepo raia 1 wa Uk tena ambae n msomali alieomba uraia kule haiondoi maana ya kuwa mashetan ya alshabab sio wasomali,wanaomba uraia ili waje wapoteze lengo zima kupigana na Ugaidi..hyo dini wanayoitetea ndo inayowafanya watende hayo na sku wakijua hyo din imetungwa tu n kibaka mmoja ndo watakavoaibika mbele za Mungu.
 
Huyu jamaa kama mdada wa uswahilin vile,anajarbu kuelezea mawazo yake haba kwa GTs,kama bdo unausingiz lala ukipata akil japo ya kuombea maji ndo uweke uzi huku,kuwepo raia 1 wa Uk tena ambae n msomali alieomba uraia kule haiondoi maana ya kuwa mashetan ya alshabab sio wasomali,wanaomba uraia ili waje wapoteze lengo zima kupigana na Ugaidi..hyo dini wanayoitetea ndo inayowafanya watende hayo na sku wakijua hyo din imetungwa tu n kibaka mmoja ndo watakavoaibika mbele za Mungu.
Kimbe vilaza mko wengi,soma uzi vizuri.Hata wa Rais wa Kenya amesema wazi hii haihusiani na dini yoyote,wewe waingiza u dini.acha ukilaza.
 
Kimbe vilaza mko wengi,soma uzi vizuri.Hata wa Rais wa Kenya amesema wazi hii haihusiani na dini yoyote,wewe waingiza u dini.acha ukilaza.

Ndo wale wale. Hawajui hata waliongealo, wao wafuata mkumbo tu. Udini, udini, udini, hata mada ikiletwa kivengine wataelemea kulekule kwenye dini. Wakenya wenyewe wanasisitiza 'We are one' na sote tumeona kila mmoja alivoshiriki kwa namna moja au nyengine kusaidia wahanga, haikujalisha yupo dini gani. Lkn sie tunojifanya wakashifuji wakubwa tunaongea pumba tu. Waislam mbona kazi tunayo.
 
Sababu za kuwang'ang'aniza wabaki ICC.?

Unataka kusema Marekani inampango wa kuuangusha utawala wa Kenyata, Maana Nasikia chaguo lao lilikua Odinga.?
 
Mbona hata September/11 incident ya World Trade Center kushambuliwa ilikuwa ni kazi ya MOSSAD na CIA ili kutekeleza mipango yao ya muda mrefu ya kuunda New World Order?Cha ajabu ndege iliyodaiwa kutumika kushambulia hilo jengo huko USA mabaki yake hayakuonekana mara baada ya tukio na hayajaonekana mpaka leo hii.Baadhi ya wachambuzi wa masuala ya silaha walidai kwamba kwa jinsi jengo lile la Kituo cha Biashara cha Kimataifa lilivyo imara kutokana na materials zilizotumiwa kujengea,Ndege ya abiria pekee isingeweza kuliangusha labda kombora zito la nyuklia tu lingefanikiwa kuliangusha kwa ule utaratibu wa majengo kuanguka kuanzia juu mpaka chini kama ilivyotokea siku ile.Kwa maana hiyo basi baadhi ya Wataalamu wa masuala ya majengo wanaamini kuwa ni kombora ndilo lililotumika siku ile na si ndege kama ilivyodaiwa.Swali linakuja ni kwanini Serikali ya Marekani ilificha ukweli wa tukio lile?Kama walichosema ni kweli ni kwanini basi hawataki kuyaonyesha hayo mabaki ya Ndege iliyotumiwa na Magaidi?So it might be tru
 
MMMMMMMMMMMM! Jamani mbona sioni connection ya shambulizi la Al-shababu na hoja ya kujitoa kenya ICC? Unataka kusema kuwa Kenya ndo imepanga shambulio hilo kwa raia zake au? unataka kusema nini? Jamani, hivi kufikiri ni kitu ghali sana? Acha kuota mchana!!
 
Back
Top Bottom