antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,825
- 134,975
Mauaji ya Kutisha ya Tiananmen Square, China:Mwambie ajisomee habari ya China kuwaua raia wake Tiananmen square ndo ataelewa ukatili wa China dhidi ya raia wake
Tiananmen Square: What happened in the protests of 1989?
It's more than 30 years since the Tiananmen Square protests were crushed in Beijing. What happened and why?
Serikali hii Katili ilitumia majeshi na vifaru vya kivita kuua maelfu ya raia wasio na silaha yoyote mchana kweupe..
Afu hao ndo "role models" wa ccm🙄