Werawera Arusha-Wing! safari ya kufunga mwaka hii hapa!

Mkuu PakaJimmy itapendeza sana kama tutakutana na mamembers wa kutoka chumvini (dar), lakini tuhakikishe tunaimarisha ulinzi wa kutosha kwa warembo wetu Preta, Blaki Womani, Lily Flower, sweetlady, marejesho na wengine kutoka Arusha, manake bana hawa jamaa wa kule hawaaminiki kabisa, ukizingatia akina Bishanga, Ruttashobolwa, Chilli wakiongozwa na mkaguzi babu Asprin.

Erickb52, Arushaone, Filipo, Mr Rocky na mlokole Mzee wa Rula tuhakikishe tunachafua hali ya hewa kwa warembo akina Madame B, charminglady, FirstLady na wengine bila kuogopa kwenda selo, bali tuhakikishe tumeacha mbegu kwa hawa jamaa...................................... kwa pamoja tunaweza
Aisee
 
Back
Top Bottom