JiweLinaloishi
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 3,737
- 2,139
hapa tusipoangalia naweza jikuta niko mapangoni mwenyewe!
Na unifafanulie kabisa maana ya MASALIA niyajue best. Mzima wewe Kabakabana?
Hakuna shida, mambo yote tutaweka sawa.
Nitamtafuta Mohamedi Mtoi kuanzia j3. KOKUTONA niko naye full time.
hahaha naogopa ban mie, am gud my dear
PakaJimmy nipo serious, karibu sana...... mimi mgeni huku lakini nimekuwa mwenyeji kwamba sina kamba mguuni KOKUTONA Dark City tufahamiane tafadhali......
tiyari.......
he he he....pole....nilienda Handajega kwa anko......ulinimiss sana eeeh......