Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
Count me in.
Yaani waliowakilisha michango hadi hivi sasa ni wawili tu? :becky::becky:
hapa tusipoangalia naweza jikuta niko mapangoni mwenyewe!Sangaaa!
Halafu walivyokuwa wanatupigia kelele sasa . . . .mweeeh!
Muone vile!
Mbwe mbwe nyiiiiiiiiiiiiiiiiingiiiiiiiiii . . . . .kumbe hata pesa hujatoa!
heheh umelala huo . . .
we utaenda???....nimeandaa mwalimu spesho kufunza watu "tango" na "salsa"
Kila la heri waendao Tanga.....
Mie siendi,
Hizo time nitakuwepo kwetu na ukoo wangu!
kumbe wewe ni wale wanaohesabiwa ki-Sweet
Hapana.
Ila siku kama hizo huwa hazinikosi kuwa home!
poa poa familia kwanza lol...somo la dance litakupita
Kama wakiwepo, manake hata pesa hawajalipa!
hahaha....kale kalist wala kasikutishe, wengine wameomba wasitajwe maana ndoa zitatetereka maana walishaaga watasafiri kikazi
We need you too Charminglady!
upo tanga kumbe? Mbn hujanambia