Wenzie wapo Davos. Yeye kajificha

Currently ratiba yake Dodoma(military barracks) ambako ndipo anakuwa muda mwingi, number two Zenji kwa ajili ya kuwa anapata urojo(local and original) then Magogoni Dar kwa ajili ya picha na kuuza sura kwamba kiti cha enzi kiko chini ya ass yake.
 
Davos ni mkusanyiko wa mabeberu na vibaraka wao.
 
Hata ningekuwa mimi nisiingeenda. Maana unaweza ukashangaa ICC wanakuja kugonga mlango na kukuambia ujiandae ili wakuchukue ukajibu mashtaka yako ya utekaji na mauaji ya raia wasio na hatia.
Ukizingatia huwa wanatoa kimya kimya hati ya kukamatwa.
 
Akisafiri nje kelele, asiposafiri ooh kajificha. Sasa akisafiri msije hapa kusema anasafiri mno
 
Yupo Davos ya Mji wa Mtumba Dodoma hapo, nje akienda wanamla kichwa
 
 
Unashindwa kujua huyu ni rais au utumbo mdogo muda wote kajificha tumboni
 
Ananuka nnya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…