Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,007
- 142,629
Hii nayo ni makala ya kipimbi tu inayotupotezea muda. Katika marais 54+ wa Afrika waliokwenda ni 3 tu:-View attachment 3532351
Ule muda wa Davos umefika.
Viongozi mbalimbali duniani wako huko.
Neno la muhimu hapo ni “viongozi”.
Sasa, huyu mtawala wetu ambaye ni haramu, naye ataenda au keshaenda?
Au ndo kajificha huko anakojifichaga?
Alipoingia kwenye utawala alikuwa anapenda sana kwenda Ulaya na Marekani kuuza sura kwa kisingizio cha kuifungua nchi.
Ila baada ya kutuonyesha rangi zake halisi [uuaji na ukatili wa hali ya juu], sasa hivi kawa pariah.
Anajificha. Anaongea mambo ya ajabu ajabu. Leo anasema hiki, keshokutwa anasema kingine kinachokinzana na alichosema juzi.
Hiyo hali ni dalili ya mtu kuchanganyikiwa kichwani.
Endapo kaenda huko Davos, atakayemwona atustue……
Samia ni pariah. Si ajabu ananuka hadi kikwapa maana yale manguo anayovaaga ni hatari.Hii nayo ni makala ya kipimbi tu inayotupotezea muda. Katika marais 54+ wa Afrika waliokwenda ni 3 tu:-
Marais wa Afrika waliohudhuria/ wanatarajiwa kuhudhuria:
DRC — Félix Tshisekedi
Mozambique — Daniel Francisco Chapo
Misri — Abdel Fattah al-Sisi
Kwa hiyo Samia Suluhu na hao wengine 51 ambao hawajakwenda wote ni waoga na wanaishi kwa kujificha??
Hiyo ndiyo Kiranga anaita Non Sequitur logical fallacy
At least wengine hawaendi by choice, lakini huyu fazafaka analazimika kutokwenda to save her fckng face. Kiongozi aliyetapakaa damu ya raia wake kiasi hicho atapata wapi ujasiri wa kwenda kuchanganyika na watu wanaoheshimu haki ya kuishi ya raia wao?Hii nayo ni makala ya kipimbi tu inayotupotezea muda. Katika marais 54+ wa Afrika waliokwenda ni 3 tu:-
Marais wa Afrika waliohudhuria/ wanatarajiwa kuhudhuria:
DRC — Félix Tshisekedi
Mozambique — Daniel Francisco Chapo
Misri — Abdel Fattah al-Sisi
Kwa hiyo Samia Suluhu na hao wengine 51 ambao hawajakwenda wote ni waoga na wanaishi kwa kujificha??
Hiyo ndiyo Kiranga anaita Non Sequitur logical fallacy
Hawezi kwenda muuaji mkubwa yuleView attachment 3532351
Ule muda wa Davos umefika.
Viongozi mbalimbali duniani wako huko.
Neno la muhimu hapo ni “viongozi”.
Sasa, huyu mtawala wetu ambaye ni haramu, naye ataenda au keshaenda?
Au ndo kajificha huko anakojifichaga?
Alipoingia kwenye utawala alikuwa anapenda sana kwenda Ulaya na Marekani kuuza sura kwa kisingizio cha kuifungua nchi.
Ila baada ya kutuonyesha rangi zake halisi [uuaji na ukatili wa hali ya juu], sasa hivi kawa pariah.
Anajificha. Anaongea mambo ya ajabu ajabu. Leo anasema hiki, keshokutwa anasema kingine kinachokinzana na alichosema juzi.
Hiyo hali ni dalili ya mtu kuchanganyikiwa kichwani.
Endapo kaenda huko Davos, atakayemwona atustue……
Wale wahalifu hakukuwa na haki ya kuishi, don't be sillyAt least wengine hawaendi by choice, lakini huyu fazafaka analazimika kutokwenda to save her fckng face. Kiongozi aliyetapakaa damu ya raia wake kiasi hicho atapata wapi ujasiri wa kwenda kuchanganyika na watu wanaoheshimu haki ya kuishi ya raia wao?
Anajiandaa kufa tarehe 17 March.View attachment 3532351
Ule muda wa Davos umefika.
Viongozi mbalimbali duniani wako huko.
Neno la muhimu hapo ni “viongozi”.
Sasa, huyu mtawala wetu ambaye ni haramu, naye ataenda au keshaenda?
Au ndo kajificha huko anakojifichaga?
Alipoingia kwenye utawala alikuwa anapenda sana kwenda Ulaya na Marekani kuuza sura kwa kisingizio cha kuifungua nchi.
Ila baada ya kutuonyesha rangi zake halisi [uuaji na ukatili wa hali ya juu], sasa hivi kawa pariah.
Anajificha. Anaongea mambo ya ajabu ajabu. Leo anasema hiki, keshokutwa anasema kingine kinachokinzana na alichosema juzi.
Hiyo hali ni dalili ya mtu kuchanganyikiwa kichwani.
Endapo kaenda huko Davos, atakayemwona atustue……
ICC siyo nyumbani kwa baba yako au kwa Heche.Hata ningekuwa mimi nisiingeenda. Maana unaweza ukashangaa ICC wanakuja kugonga mlango na kukuambia ujiandae ili wakuchukue ukajibu mashtaka yako ya utekaji na mauaji ya raia wasio na hatia.
Ila yatakuwa ndiyo makazi ya kudumu ya huyo mama yako muuaji na mtekaji wa raia wasio na hatia.ICC siyo nyumbani kwa baba yako au kwa Heche.