Wenzetu wanaenda mbele, sisi tunarudi nyuma

Mkuu yote hayo uliyoyaandika ni kweli na humu tumo tulioshuhudia neema hizo wakati huo
Miaka hiyo kulikuwa na meter za maji kila nyumba yenye uwezo wa kulipia maji, tulikuwa na landlines manyumbani na unaongea na operator anakuunganisha au unasikia mlio unapokea unaambiwa ni simu ya fulani
Tatizo lilikuwa ni sustainability ya hivyo viwanda
 
Hahaha........umeshafura kama kawaida Yako!

Hahaha...... hahaha........!
Ndio acha kuwa unakurupuka kijana mdogo. Tumia muda wako mwingi kujielimisha na kufanya research.
Huyo umsemaye alikuwa anaitwa TUNTEMEKE SANGA.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Ndio acha kuwa unakurupuka kijana mdogo. Tumia muda wako mwingi kujielimisha na kufanya research.
Huyo umsemaye alikuwa anaitwa TUNTEMEKE SANGA.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Hahaha...... hahaha.......Umeunga Mkono hoja!

Huyo ndio mwenye Chadema hisa zake ziko na Sugu
 
Endelea kushangilia mama anaupiga mwingi kama kawaida yako
Tangu lini mimi nimejishikamanisha na siasa za kumshangilia mtu? Maoni yangu siku zote ni huru, nafurahia na kumheshimu Mungu aliyenijalia akili ili nitafakari, nitende na nishauriane na wengine. Akili yangu ninayo mimi mwenyewe, haiishi kwa mtu mwingine, hata daima nikaishi kwa kufuata mkumbo au kushangilia kila jambo.

Rais akitenda vyema tutasema, alipokosea tutaeleza pia.
 
Tuna hali mbaya sana.kwasababu pamoja na yote hayo ujinga nao umezidi kuongezeka siku hadi siku badala ya kupungua.
 
Hakuna kiongozi ataweza kurudisha raha zile
Raha zipi, zile za kupanga foleni kwa kila hitaji la maisha yako?

foleni ya sukari, sembe, kitenge hata sabuni ya mawingu ya kufulia?

Kila awamu inakuja na shida za aina yake, maisha hayajawahi kuwa raha kwa hapa Tz, ila kuna kipindi kidogo yanakuwa na afadhali.
 
Wewe ulizaliwa baada ya Vita ya Kagera!
 
Wewe ulizaliwa baada ya Vita ya Kagera!
kwa taarifa yako tu ni kuwa wakati vita ya kagera imeanza 1978 mimi niko mwaka wa kwanza UDSM. Hotuba ya Mwalimu Nyerere ya kuanza vita na Idi tumeisikiliza kwenye redio mkulima baada ya taarifa ya habari saa mbili usiku kama sikosei, na ule msemo wake wa 'nguvu tunayo, uwezo tunao na ari tunayo' ya kumpiga Nduli Amini.

Kipindi hicho ninachokwambia hata sabuni ilikuwa shida, sijui wewe ulikuwa wapi
 
Raha zipi, zile za kupanga foleni kwa kila hitaji la maisha yako?

foleni ya sukari, sembe, kitenge hata sabuni ya mawingu ya kufulia?

Kila awamu inakuja na shida za aina yake, maisha hayajawahi kuwa raha kwa hapa Tz, ila kuna kipindi kidogo yanakuwa na afadhali.
Kabla ya vita vya Kagera, hakukuwahi kuwa na foleni ya kununua kitu chochote.
 
Nachojua china ni watengenezaji bora wa bidhaa duniani.
China hutengeneza bidhaa kutokana na soko la bidhaa hizoo.
Ni kweli. Huwezi kuta uchafu aina ya Toyo huko duniani, ni afrika pekee. Yaani wana quality ya kuexport Eu na America, ya Asia, ya Australia na ya Afrika.
 
kwa taarifa yako tu ni kuwa wakati vita ya kagera imeanza 1978 mimi niko mwaka wa kwanza UDSM. Hotuba ya Mwalimu Nyerere ya kuanza vita na Idi tumeisikiliza kwenye redio mkulima baada ya taarifa ya habari saa mbili usiku kama sikosei, na ule msemo wake wa 'nguvu tunayo, uwezo tunao na ari tunayo' ya kumpiga Nduli Amini.

Kipindi hicho ninachokwambia hata sabuni ilikuwa shida, sijui wewe ulikuwa wapi
Siyo Kweli

1978 nikiishi pale Komakoma sikuwahi kupanga foleni kwa ajili ya kuinunua bidhaa yoyote
 
Hapo kwa china kukopi na kupeste umeingia cha kike hauawezi kulinganisha China na mambo ya jijinga hiyo ndo democrasia yao waliyojiamulia sio lazima wawaige wamagharibi
Usipende kuleta hadithi. Watu huongea kwa takwimu na kumbukumbu.

Ni kitu gani kimewahi kugundulika nchini China, na baadaye kikaigwa na mataifa mengine. Gunduzi zote Duniani, uwe kwenye natural scuence, medical science, teknology, zipo documented. Ipi iliwahi kugundulika na wachina?

Kwa mfano:

Wayahudi
This is a list of inventions and discoveries by Israeli scientists and researchers, working locally or overseas.

Jewish

MathematicsEdit

Johnson–Lindenstrauss lemma, a mathematical result concerning low-distortion embeddings of points from high-dimensional into low-dimensional Euclidean space contributed by Joram Lindenstrauss.

Development of the measurement of rigidity by Elon Lindenstrauss in ergodic theory, and their applications to number theory.[8]

Proof of Szemerédi's theorem solved by mathematician Hill Furstenberg.

Expansion of axiomatic set theory and the ZF set theory by Abraham Fraenkel.

Development of the area of automorphic forms and L-functions by Ilya Piatetski-Shapiro.[9][10]

Development of Sauer–Shelah lemma and Shelah cardinal.

Development of the first proof of the alternating sign matrix conjecture.

Development of Zig-zag product of graphs, a method of combining smaller graphs to produce larger ones used in the construction of expander graphs by Avi Wigderson.

Development of Bernstein–Sato polynomial and proof of the Kazhdan–Lusztig conjectures by Joseph Bernstein

Generalization of the marriage theorem by obtaining the right transfinite conditions for infinite bipartite graphs. He subsequently proved the appropriate versions of the Kőnig theorem and the Menger theorem for infinite graphs by Ron Aharoni.

Development of the Amitsur–Levitzki theorem by Shimshon Amitsur.

False discovery rate, a statistical method for regulating Type I errors.[11]

Science

Computing

Defense

Agriculture and breeding

Energy

Consumer goods and appliances

Games

Mchina kwenye ugunduzi kama huo humwoni, amebakia copy and paste.
 
Hapo nimechanganya shida ilikuwa ni baada ya vita. Vita ilikuwa 1978 mwisho mwisho wa mwaka.
Kwa ujumla, kwa maendeleo ya wakati ule tulikuwa vizuri.

Mpaka mwaka 1967 Tanzania, uchumi waje ulikuwa sawa na wa Malaysia, Thailand na Indonesia.

Kwa mujibu wa UNDP, tunaambiwa kuwa pale walipofika Malaysia sasa, wakibakia pale pale, sisi tuendelee na hii speed yetu, tutawafikia baada ya miaka 250.
 
Back
Top Bottom