Wenzetu hawarembi

Wenzetu hawarembi

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,456
Reaction score
872,092
1413912853229.jpg
 
Hiyo sio execution order kutoka kwenye ile mahakama yetu ya kikatiba kweli?
 
Ukifanya hivi kwa nchi zetu ambazo kila kitu wanapanga matajiri hatutofika mbali maana tutalala njaa,ukitaka jambo hili lifanikiwe uwe na uwezo wa kujitosheleza kimahitaji bila kutegemea misaada toka kwa wahisani ingawa si jambo jema sana kufanya hadharani kama picha inavyoonesha.
 
Mshana hii ikianzishwa Bongo, MIANA-SIASA karibu yote hapa nchini ITANING"INIZWA!!!!
 
ukifanya hivi kwa nchi zetu ambazo kila kitu wanapanga matajiri hatutofika mbali maana tutalala njaa,ukitaka jambo hili lifanikiwe uwe na uwezo wa kujitosheleza kimahitaji bila kutegemea misaada toka kwa wahisani ingawa si jambo jema sana kufanya hadharani kama picha inavyoonesha.

hii ya hadharani ni kusudu la wengine kujifunza/kutia hofu/kuondoka utata kwamba hawakunyongwa n.k.
 
attachment.php

Mshana hii sinema gani vile,
tuwekee basi hata source ukiikosa jina lake

maana wanopolewa na maCrane
halafu wote inaelekea ni Maskini kuanzia afya mapaka mavazi na hawakufunikwa vichwa
sijui picha ya lini hii maana maraya mwisho ni China ndio wamemnyonga mtu wa mwisho
nomejaribu ku-Google
 
Ukwaju wenzetu hawarembi, hasa wachina hawajali wewe ni nani na una bei gani!!! Unakumbuka ishu ya maziwa ya 3deers na kashfa ya melamine? Wamiliki ambao ilikuwa ni familia tajiri mno na maarufu nchini China hawapo tena duniani
 
Last edited by a moderator:
Hawa ni sawa sawa na vidagaa lakini wale mapapa wakubwa hawapatikani ni sawa sawa na hapa kwetu ni visumbururu tu ile minofu kimya tena wamebana wanasikilezia upepo unavovuma na pengeni unaweza ukafikiri huyu huyu kigogo hayupo hapa duniani ni chabo tu
 
Ukwaju wenzetu hawarembi, hasa wachina hawajali wewe ni nani na una bei gani!!! Unakumbuka ishu ya maziwa ya 3deers na kashfa ya melamine? Wamiliki ambao ilikuwa ni familia tajiri mno na maarufu nchini China hawapo tena duniani
hii ndio sijaijua ilikuwa picha gani Mshana maana hujaweka Link
Huko Iran jamaa walibaka kaBint wakahukumiwa hivi
Public-Hanging-of-4-Rapists-In-Tehran-10.jpg

Photos: Public Hanging of 4 Rapists In Tehran
 
Hapo kwa wengine ni adabu ikija hapa hata ukisahau wallet kwenye daladala unaikuta
 
Back
Top Bottom