Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,636
- 44,392
sijamnyanyapaa mtu hapa hivi hujui tuko jukwaa gani hapa
hapa ni mpango wa chat hivyo unyanyapaaji hakuna elewa somo
Sasa mbona unawasema vibaya wenye BB...najua nipo jukwaa gani.
sijamnyanyapaa mtu hapa hivi hujui tuko jukwaa gani hapa
hapa ni mpango wa chat hivyo unyanyapaaji hakuna elewa somo
Sasa mbona unawasema vibaya wenye BB...najua nipo jukwaa gani.
akanana Paloma kwanini umenitoroka?
hahahaaaa
makubwa yana nafuu!!
Hahaaa!cousin siku zotee paka akitoka panya lazima atawale,cku tukirudi tutasafisha wavamizi wote,kwa sasa tunasaka mshiko tunaingia kwa kubeep!acha wajimwage kidogo!
Hahaaa!na mm nikirudi nataka talaka yangu!
cousin muhabarishe,aandae talaka,nikirudi niikute,kuanzia sasa sijaolewa wala cna mume!mhabarishe na pacha angu!bora iwe hivyo maana ulivyoondoka kwenda norway yeye alikuwa anabadilisha kama nguo mjengoni hapa
na nikamwambia kwanini unafanya hivyo akawa mbishi kama pilipili
hapa utakuwa unamlenga The BossHapa tumevamiwa tena ni ukweli;
Nimeshangaa hadi nikashangaa mtu mzima fulani
katoka MMU kuja kutafuta mchepuko huku; hivi kweli
hawa wa huku akina Asprin, Arushaone na wale
madogo wote wameshindwa kazi.
Ngoja nitaandaa payroll ---- siyo ya malipo lakini---------
Hapa kama haujaitikia prezent, jina linafutwa.
umemmiss sana?!?!!?
Ngoja aje umchezee sharubu....................
cousin muhabarishe,aandae talaka,nikirudi niikute,kuanzia sasa sijaolewa wala cna mume!mhabarishe na pacha angu!
[/QUOTE]kama mkuu wa kitengo cha kurekebisha
QUOTE=Jerrymsigwa;9751461]Samahani, we unalalamika kama nani wa humu? Yani una nafasi gani mpk uweke wigo 'tumeingiliwa'
hapa utakuwa unamlenga The Boss