ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Habarini,
Wanajamvi wenzangu mnaendeleaje na mihangaiko mimi naona hapa tumeingiliwa kwa muda sasa sijawatia machoni wanajamvi wenzangu ambao wamekuwa busy.
Sasa , wameingia watu wa ajabu ajabu sana hapa jukwaani kwetu, utaona mara wanaongea tunakaa katika stoo , mara namsaka girl/boy friends mara waongee hivi mara vile hawana mambo ya msingi sijui kwanini tumevamiwa kiasi hichi na kuachia jukwaa kutekwa na wageni wakati wenyeji wenyewe tupo tunakodoa macho na kujitumbukiza mguu mmoja nje ndani.
Tunamuomba mkuu wa kitengo cha utungaji wa katiba cc mr. Arushaone aje alete mkakati wa kuliweka jukwaa letu liwe kama zamani maana sasa huu uvamizi wa alkaeda umekithiri mjengoni hapa na unatuondolea amani kabisa.
Sijui tufanyaje jamani, please spika wa bunge Mamndenyi sogea ulekebishe cc yetu maana naona uko kimya na vijana wanaharibu mjengo au mwambie
waziri mkuu Mtambuzi atoe onyo kali asiwe anakaa tu na kukodoa macho.
Please mimi naomba mwongozo mheshimiwa spika maana nina dukuduku sana kuona cc inachafuliwa na kuharibiwa kiasi hichi.
Nawasilisha
Ladyf