Wenzangu mnawezaje kuacha?

Ukishaona huumii kuachana ujue ushakuwa malaya, imagine una backup ya mabwana 6! We ni nani? 😎

Nitaumia nikiachwa,hata sitamani itokee

Lakini ikitokea nimeachwa nitaruhusu akili na moyo kukubali mapema na kumove on.....haitakuwa kama ile ya mara ya kwanza

Sio umalaya bhana chief Extrovert ,nitachagua mmoja kati ya waliopo
 
umepanda laana, utavuna laana. muache kuwachezea hao watoto wa kike iwapo hamna mipango nao.
tambua karma ipo nainafanya kazi
 
Hakuna kitu kibaya cha kuanza uhusiano kwa kumfanganya mwenzako uhusiano wowote wanawake wengi huwa wanawazia ndoa. Wachache sana ambao huwa wanawazia anapita tu.

Mwambie mapema kabisa kuwa wewe haitatokea kuoana na mm labda Mungu tu aingilie Kati napenda tu kampani ya mapenzi au tuition ya mapenzi

Wanaume tuache uongo wa kujificha na huyo uloanzisha naye umempa moyo wako atakiponyoka na ww umsaidie mwenzako kilio alichopata
 


We ushaacha wangapi hadi sasa??
 
Nitaumia nikiachwa,hata sitamani itokee

Lakini ikitokea nimeachwa nitaruhusu akili na moyo kukubali mapema na kumove on.....haitakuwa kama ile ya mara ya kwanza

Sio umalaya bhana chief Extrovert ,nitachagua mmoja kati ya waliopo
Kwahio, unanipanga kabisa....uongo!?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ulifanya kosa kubwa sana siyo vizuri kumpotezea mtu muda wake.
 
Amka boy huyo unaye mpenda na kutaka kumuowa hakupendi na hana mpango na wewe
 
Wewe jamaa una maneno mabaya sana ningejua hata nisingesoma comment yako
Wewe huoni kama ulimtamkia Emmy maneno mabaya?

Nipe namba yake nimuoe mimi
Nimetokea kumpenda kwa huruma
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…