Wenzangu mnawezaje kuacha?

Kwanza hukuwa na sababu ya kumwambia jambo kama hili kwenye simu katka maisha chchte kinaweza kutokea kwahyo kama una relation na mtu na imeshindwa kuworkout lazima kuelewa ungemwita mahali tulivu kabisaaa na kumwelezea tena kwa upole mnoo huku ukitumia convincing power ya kumfanya aamini hiyo relation haiwez kuworkout kwa sababu kadhaa wa kadhaa huku ukimtia moyo sababu umemdispoint kumtia moyo ingemsaidia kumweka sawa ili achukulie ni kitu cha kawaida hamna sababu ya kuchukiana kila mtu haijui kesho yake
 
Bado kidogo huyo mke mtalajiwa ataanza kukufanyia makida makida uanze kulia wewe!
 
Sasa ndugu ujawezaje kufanya mapenzi na mtu usiyempenda
Ndio najaribu kuwaza hapa, Mchizi alikua anapataje hisia hadi anadidinsha kwa huyo dada, mbali na hilo... Alikua anatoaje wazungu kama hampendi huyo binti au wakati wa kukojoa alikua hisia anazi danganya yuko na huyo mke wake mtarajiwa....!?

Hii ngumu kumeza...
 
Ulikuwa humpendi afu umedumu naye miaka miwili😲 duh...
Utaoa ambaye hakupendi ndo uanze kukumbuka upendo wa huyu Emmy. Haukuwa na haja ya kukaa nae muda wote huo Kama hukumpenda..
 
Ulikuwa humpendi afu umedumu naye miaka miwili[emoji44] duh...
Utaoa ambaye hakupendi ndo uanze kukumbuka upendo wa huyu Emmy. Haukuwa na haja ya kukaa nae muda wote huo Kama hukumpenda..
Namna ya kumuacha mkuu ilikuwa ngumu wala alikuwa hanikosei katika kipindi hicho zaidi zaidi mimi ndio nilikuwa namkwaza lakini ni mvumilivu sana emmy
 
Daah nimekuelewa mkuu
 
Namna ya kumuacha mkuu ilikuwa ngumu wala alikuwa hanikosei katika kipindi hicho zaidi zaidi mimi ndio nilikuwa namkwaza lakini ni mvumilivu sana emmy
Dah!! Umekosea Sana kumtamkia hivyo.
 
hahahahahahaaaaa.....hii ni laana sio maombi....maombi huwa ya kheri siku zote.....
Mkuu bora useme wewe huyu jamaa ananitakia laana kabisaa
 
Mkuu nipe 'connection' nataka nije Denmark
 
Acha kutuchezea akili zetu km unachoongea unamaanisha Basi umri wako bado mtoto hujakomaa kiakili na usipobadili maamuzi yako mbeleni utakuja kujuta na utakuwa umechelewa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…