Akifanya hivyo unamuacha unachukua mwingine, quite simplyUmempotezea muda emmy kisa huyo mpuuzi ulompata ukiwa na uwezo.
Mungu naomba akupige kiboko, ukimuoa huyo mpya azae mtoto wa x wake, asiwaheshimu wazazi wako, lakini pia ndani asikujali, kazi zote afanye house girl, akutese ndani, atoke na boss wake, simu yake usiiguse uione kama kituo cha police, ukose amani ya ndoa. Utamani kumuacha. Akuvuruge mpaka umpe taraka, hutwo tumali twako mtugawane kati, urudi kama alivyokukuta emmy.
Wote tunao amini maombi haya tuseme ameeeeeena.
Ndio nakupa mbinu hizo sasa mi nimeoa ila maex wangu wote nikiamua nakumbushia sababu sijawahi kuwaambia its overdah sidhani kama naweza man, sidhani kama nitaweza kuanza kuzurura zura kumzungiusha mtu, yani namwambia hapo hapo na nafikiri ataanza kudeal nalo mapema
Kwa mara ya kwanza nimeshuhudia comment yenye utu kutoka kwa huyu dada.Muache aende... Atafute atakae mpenda ..mpotezee TU. Usije mgeuza mchepuko
Let her go
Asante sana mkuu umeongea kitu cha maana mnoKuna mama mmoja aliniambia mwanamke anae kupenda ila wewe humpendi hata siku moja usimuache kwa kumwambia sikupendi/sikutaki anaachwa kwa mbinu
Itoshe tu kusema usiowe mwanamke kwa kumuonea huruma wakati we humpendi
Wanaume mnadhambi kipindi ubashida alijuvumilia ukamuona mtu leo umeanza kupata unamuona mavi,Mungu anakuona ogopa sana chozi lamwanamke TAFAKARIKuwa mchepuko hataki na mbaya zaidi tulianza nikiwa na hali mbaya now kidogo mambo safi anahisi namuacha kwa sababu hiyo
Kwahiyo yeye alikuwa wakuchezea tuu hauna malengo nae???Sio kwamba namuona mavi,ila nimepata mtu wa kuoa
Ila inauma kwanini umfanye mtoto wamwenzio wakukutumizia haja zako tuu uoe mwingine muda wote huo sio poa kama mtu haumpendi anzisha mahusiano naunaempenda sio kuchezea mtoto wamtu MUNGU ANAKUONASio kwamba namuona mavi,ila nimepata mtu wa kuoa
Wewe na huyo Emmy nani wa kupewa faraja??Dada nipo hapa kutafuta faraja ujue
Unadhani Emmy alijua kuwa humpendi?? Ulivyomsuprise Emmy na wewe ndivyo utakavyokuja kuwa surprised ni suala la muda tuWewe umejuaje kama hanipendi? Wakati mm ndio nipo nae na anaonyesha ananipenda tena kwa dhati
Kuwa makini sana na maamuzi unayotaka kuyafanya.Kipindi cha miaka miwili nyuma nilipata demu kwa jina Emmy huyu dada sikumpenda ila nilimtongoza kwakua nilikuwa na uhitaji wa huduma mara kwa mara kabla sijampata mpenzi wa maisha
Emmy alinizoea sana na ndani ya miaka miwili upendo wake kwangu ulikuwa juu sana kuliko awali na akaanza kuzungumzia plan za baadaye na mimi kitu ambacho kilianza kuniwazisha kwan sikuwa na mipango hiyo.
Sasa juzi hapa niliamua kumwandikia message kumwambia mm nategemea kuoa mwakani nimeshapata mtu mwengne aisee huyu dada alilia sana na kutoa lawama mpaka nikajihisi mimi ni shetani yaani kila ninavyojitahidi kumbenbeleza maneno anayoniambia ni yananichina maana alipiga, simu akiwa anaongea analia et "muda wote ulikuwa unanichezea gwele kumbe huna malengo na mimi" yaani najikuta namuonea huruma maana hajanikosea ila simpend tu tayari nina mke wangu mtarajiwa na nampenda sana. Hebu naomba msaada wa kuachana na Emmy na kuziepuka hizi laana nitumie mbinu gani wajameni
Kabisa!! Haya mambo sijui kwanini yanageuka ghafla.Unadhani Emmy alijua kuwa humpendi?? Ulivyomsuprise Emmy na wewe ndivyo utakavyokuja kuwa surprised ni suala la muda tu
Nikweli ipo cku atajuta chozi lamtu mzima halipotei bureUnadhani Emmy alijua kuwa humpendi?? Ulivyomsuprise Emmy na wewe ndivyo utakavyokuja kuwa surprised ni suala la muda tu