Mama hajakulea kiundani anayekujua wewe ni mkimya ni dada yako.[emoji23] [emoji23] shida ni kwamba mama yangu sio mtu wa utani sana mbaya zaidi mimi nikikutana na mtu mkimya tena ndo balaa dada yangu mmoja ndo anamuwezea anaongea kama chiriku
Ni kweli usemayo maana naambiwa nilipokuwa mdogo nilikuwa naongea sanaa pengine anahusianisha ule mdomo wa miaka ile na sasaMama hajakulea kiundani anayekujua wewe ni mkimya ni dada yako.
Mama anahisi haumpendi kwasababu kuna wa kukulingnisha naye ambaye ni dada yako.
Kama hautaweza kufanya unyohisi mama ataona unampenda basi be you kuna siku atakuelewa.
Tafakari chukua hatua Kong KongNi kweli usemayo maana naambiwa nilipokuwa mdogo nilikuwa naongea sanaa pengine anahusianisha ule mdomo wa miaka ile na sasa
Kweli maana tukianza kuongea na sista hapa ananikumbusha matukio yangu basi full kuchekaKuwa Karibu na mtoto kwenye kile kipindi cha makuzi kinamfanya mtoto awe karibu saaana na yule mlezi au mzazi. Wewe hukubahatika hilo ndo maana, waweza hisi wampenda kweeli lakinii mama anaona hamna ule ukaribu anaoutaka ndo maana ahisi humpendi.
Mie niko na kumbukumbu nyingi saaana za kipindi nakua, naanza kusoma mpaka namaliza niko na mama angu, sa hii nikianza ongea na mama hatumalizi na utani juu lakini siwezi ongea na dada hata robo saa kwa simu na nimeishi nae kwa muda fulani zaidi ya mwaka. Nafikiri Umeona tofauti hapo!!!
Asante mkuu though hilo la kumtembelea mara kwa mara ni gumu kidogo maana tunaishi mbalimbaliJitahidi kumpigia Mara kwa Mara, tumia kumuita mama mara kadhaa wakati wa mazungumzp, mshirikishe mambo yako, Maisha yako kwa ujumla, mtembelee Mara kwa Mara, onesha kumjali kwa chochote unachojaliwa hata kama ni kidogo, onesha uko upande wake, hakika mama atakufurahia
Kwa hiyo sio kwamba humpendi ni kwamba hujamzoea..Kweli maana tukianza kuongea na sista hapa ananikumbusha matukio yangu basi full kucheka
Nimelelewa na shangazi baada ya wazazi kuachana,sijakaa na mama wala baba,mama nimekutana nae mwaka 2004 baada ya kutengana since 1994 alikuwa hanikumbuki,baba nimekutana nae mwaka 2009 baada ya kuachana nae 20000,sijawahi kuwa na hisia za kum miss mama wala baba,mtu pekee ambae naweza kum miss ni shangazi yangu,ninaishi tofauti na wao wanapoishi.......!!!mlezi ana nafasi kubwa sana katika maisha ya mtoto atakae mlea endapo mzazi hatahusika...Heshima kwenu Great Thinkers
Mwenzenu nina jambo linanitatiza siku nyingi nimeshindwa kupata ufumbuzi.
Kwanza kabisa mimi sikulelewa na mama yangu, nilienda kuishi na sister nikiwa na miaka mitano na nimekulia huko mpaka nimekuwa mtu mzima najitegemea. Sio kwamba nilikuwa sionani na wazazu kabisa, karibu kila mwaka naonana nao na kukaa nao kwa kipindi fulani.
Kinachonitatiza ni mama yangu, huwa anahisi mimi simpendi wakati mimi nampenda kufa...najivunia yeye na najiona mwenye bahati kuwa na mama kama yeye. Yeye ndo malkia wangu wa nguvu,to me she is the best female on Earth ila sasa nashindwa nifanye nini ili aone nampenda kuliko kitu chochote duniani. Sina hela kwamba niwe namjaza mapene, na hata nikimpigia simu sinaga stori nyingi najikuta nimeishiwa ya kuzungumza tofauti na nikiongea na sister tunajikuta tunapiga stori hadi basi...huwa nadhani pengine ni kwa sababu mimi na yeye wote sio waongeaji wazuri lakini bado nahisi kuna kitu hakiko sawa.
Hebu nishaurini mwenzenu jambo hili linaninyima raha kabisa.
Jitahidi sasa my dear kamzoea ili asihisi wamtenga!!!Nadhani hilo ndo tatizo
Aisee ni kweli ila wazazi wanajisikia vibaya sanaNimelelewa na shangazi baada ya wazazi kuachana,sijakaa na mama wala baba,mama nimekutana nae mwaka 2004 baada ya kutengana since 1994 alikuwa hanikumbuki,baba nimekutana nae mwaka 2009 baada ya kuachana nae 20000,sijawahi kuwa na hisia za kum miss mama wala baba,mtu pekee ambae naweza kum miss ni shangazi yangu,ninaishi tofauti na wao wanapoishi.......!!!mlezi ana nafasi kubwa sana katika maisha ya mtoto atakae mlea endapo mzazi hatahusika...
Hongera unakaa na mama yako hapahapa mjini