Jamani kapeace my mama had no choice dada alipangiwa kazi sehemu ya mbali sana na nyumbani plus alikuwa bado binti mdogo mama akaona nikampe kampaniMlezi ana nafasi kubwa ya kujenga ukaribu kuliko mzazi halisi, km mzazi upo na mwanao analelewa na mtu mwingine bila sababu za msingi basi jiandae kwa maumivu km anayokutana nayo mama yake khantwe, labda tu mlezi akiwa na roho mbaya kwa anaemlea
Hongera dada alikulea vyema
Asante mkuuSiyo makosa yako mnashindwa ku-connect kama mnavyotamani, hamkuwa karibu enough kutengeneza mahusiano ya aina hiyo, tofauti na dada yako. Upendo ni energy moja kubwa sana kiasi huitaji kumuonyesha mtu, anai-feel tu, unless kama haujui upendo. So kama unampenda kweli kama ulivyosema, kuwa na amani tu, that's more than enough.
Pia japo upendo kutoka kwa mzazi kwenda kwa mtoto ni lazima, mzazi ana-earn upendo kutoka kwa mtoto.
Ndo ivo iwe kwa nia njema au mbaya halikwepeki mtoto anajenga mazoea na yule anaeishi nae na mlezi akiwa mwema kwake baasi kwa mzazi upendo hupotea automaticallyJamani kapeace my mama had no choice dada alipangiwa kazi sehemu ya mbali sana na nyumbani plus alikuwa bado binti mdogo mama akaona nikampe kampani
Sio kweli bhana acha sound zakoAisee nimekusoma mara tatutatu sijaelewa
Upendo hauelezeki ila kama unampenda mtu anajua tuu.Alishawahi kusema japo sio moja kwa moja
Kuna sehemu hapo mwishoni umesema kuna kitu unahisi hakiko sawa, na sijakataa kwamba humpendi lkn kuna asilimia zingine zinamuendea dadaIla mimi upendo haujapotea nampenda sana tu
Heshima kwenu Great Thinkers
Mwenzenu nina jambo linanitatiza siku nyingi nimeshindwa kupata ufumbuzi.
Kwanza kabisa mimi sikulelewa na mama yangu, nilienda kuishi na sister nikiwa na miaka mitano na nimekulia huko mpaka nimekuwa mtu mzima najitegemea. Sio kwamba nilikuwa sionani na wazazu kabisa, karibu kila mwaka naonana nao na kukaa nao kwa kipindi fulani.
Kinachonitatiza ni mama yangu, huwa anahisi mimi simpendi wakati mimi nampenda kufa...najivunia yeye na najiona mwenye bahati kuwa na mama kama yeye. Yeye ndo malkia wangu wa nguvu,to me she is the best female on Earth ila sasa nashindwa nifanye nini ili aone nampenda kuliko kitu chochote duniani. Sina hela kwamba niwe namjaza mapene, na hata nikimpigia simu sinaga stori nyingi najikuta nimeishiwa ya kuzungumza tofauti na nikiongea na sister tunajikuta tunapiga stori hadi basi...huwa nadhani pengine ni kwa sababu mimi na yeye wote sio waongeaji wazuri lakini bado nahisi kuna kitu hakiko sawa.
Hebu nishaurini mwenzenu jambo hili linaninyima raha kabisa.
[emoji23] [emoji23] shida ni kwamba mama yangu sio mtu wa utani sana mbaya zaidi mimi nikikutana na mtu mkimya tena ndo balaa dada yangu mmoja ndo anamuwezea anaongea kama chirikuUpendo hauelezeki ila kama unampenda mtu anajua tuu.
Basi anza tu kuwa mcharuko kwa mama... Mpigie.. Mchekee saana mtanie saana. Kuwa open kwake .
Asante mkuu nitajitahidi nifanye hivyoUnaweza usiwe na mapene ya kumjaza kama ulivyosema hapo juu.... Ila onyesha kuwa unamjali kwa kumlisha, kumvisha, hakikisha analala pahala bora kama ni kwa budget utakayopanga wewe au Mara unapopata mpunga wa ziada .... Hata kama ana uwezo wa kulijisha na kuvaa.... Onyesha kuwa unamu-appreciate kwa VITENDO.... Sio kwa porojo pekee kwa kumpigia simu.... Sababisha pia na haya ambayo nimekushauri.... Trust me utaona mabadiliko.
ShukraniHilo haliko kwako peke yako,ndivyo inavyokuwaga nimejionea kwa macho yangu mtoto anamchukulia mlezi zaidi ya Mama yake,siku zote Upendo unajengwa unatengenezwa,Jaribu kuishi na bi mkubwa wako kama yuko mbali na ww ili kurejesha ukaribu kama uko nae mshirikishe kila kitu chako hata mambo ya mahusiano mchukulie kama rafiki huenda atafeel vile ww unadhani upo kwake