Cheology
JF-Expert Member
- Jun 25, 2022
- 323
- 502
Sasa mwambie ajipongeze na nini...umemuacha juu juuTabia ulizo nazo ndizo zinachangia hasira, chunguza vyakula unavyokula,mazungumzo ambayo unayashiriki mara nyingi huko ndio kunatokea hayo, mabishano yasiyo na maana, mahusiano yasiyo na utulivu kila wakati wewe unakua ndio msuluhishi wa vitu vidogo vidogo, punguza matumizi ya pombe, sigara na kahawa pia jaribu kuwasamehe watu waliokukosea kwa maneno au vitendo, jisamehe wewe mwenyewe kwa kushindwa kutekeleza baadhi ya malengo yako, zingatia muda wa kulala, pumzika/ lala masaa 7/8.