Wenyewe mpo?

kautipe

Member
May 6, 2011
64
6
Wapendwa wana jf awali ya yote nawashukuru sana kwa michango na mawazo yenu bora yaliyonivuta kujiunga nanyi. Naomba mnipokee ili nami niweze kushiriki nanyi ktk ujenzi wa taifa letu. Wenu kautipe
 
Umeshapata id?je access key??katika jukwaa muhimu la MMU??M-PM mtu huyu kwa msaada zaidi! User name The Finest ukikwama come to me i'll help you my guest!use Kakakiiza as usual the brother in JF.
 
Back
Top Bottom