Wenyeviti wa CCM Same wahamia CHADEMA

Wenyeviti wa CCM Same wahamia CHADEMA

Watamuuwa yule mama kwa pressure,maaana anajua lile jimbo nilake mpaka baada ya 2015.
 
Ni wenyeviti wa ngazi zipi? Fafanua mkuu
 
Namsubiri Mama Anne Kilango abwatuke povu mjengoni halafu aunge mkono hoja!!!!!
 
wenyeviti watatu kutoka kata nakotoka bi Anna Kilango wamejivua gamba na kuvaa gwanda..
source sunrise fm

Kaka hii habari ni njema sana kwa chadema na mbaya sana kwa mama tingatinga, ukizingati ni juzi tu aliwasaliti wananchi wa same kwa kupiga kura ya ndiyo kwa bajeti inayawanyonga wanyonge.
 
cdm ni chaka la wahalifu acha wakimbilie, changamoto imewasínda
 
Mama Anne Kilango upo?? Au hapatikani humu JF? Labda faza Samuel Malecela atajibu maana yeye yupo humu JF.
 
cdm ni chaka la wahalifu acha wakimbilie, changamoto imewasínda

sifa yakuwa kamanda wa magamba lazima mishipa ya aibu ikatwe na kusababisha ubongo kuwaza ndivyo sivyo kweli inakuwa uongo na uongo kuufanya uuonekane kweli .hilo ndilo lililokusibu.GAMBA WEE!!!
 
Kwa mujibu wa Crashwise, wenyeviti waliojivua gamba ni viongozi wa serikali za mitaa kutoka vitongoji vitatu kata anayotoka Mama Kilango.

Crashwise pia ametuarifu kuwa mwenyekiti wa serikali za mitaa kata ya Mateves jiji la Arusha amejivua gamba na kujiunga chadema.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom