Curriculum Specialist
JF-Expert Member
- Oct 8, 2007
- 2,732
- 750
Yule mtoto wake wa kambo atafikisha taarifa!
Mama Anne Kilango upo?? Au hapatikani humu JF? Labda faza Samuel Malecela atajibu maana yeye yupo humu JF.
Ni kweli kabisa changamoto ya kutaka kumuua dr ulimboka ni kubwa sana lazima waikimbie
Yupi huyo? Au bwana Willy??Humu yupo mwanae wa kambo!
Kwa mujibu wa Crashwise, wenyeviti waliojivua gamba ni viongozi wa serikali za mitaa kutoka vitongoji vitatu kata anayotoka Mama Kilango.
Crashwise pia ametuarifu kuwa mwenyekiti wa serikali za mitaa kata ya Mateves jiji la Arusha amejivua gamba na kujiunga chadema.
wapi mama Anna Kilango?
Yupi huyo? Au bwana Willy??
cdm ni chaka la wahalifu acha wakimbilie, changamoto imewasínda
Ohhhh yes namtambua huyo jamaa, jana niliona katika luninga anauza kidogo! Harakati za kupata madaraka zina mambo sana!Naam! A.ka Le Mutuz! Kijana mwenye uchu wa madaraka. Amekosa ubunge wa EAC akaenda kugombea ujumbe wa kata tena uhamishoni. Toka Segerea hadi Magogoni!!
enemanya mwenye na kiherehere chakwe, enefwa mwaka huu! ShokoEee nethika dime! Ule mshipa wa kuongea yule mama lazima uchomoke!safi sana viva cdm.
ushawahi kumuuliza mama yako baba yako halisi (biological father) ni yupi?