Wenyeviti wa CCM Same wahamia CHADEMA

wanahusika na uharibifu wa mazingira katika msitu wa shengena wamechukia mama kilango kuwaletea noma na wenzao saba kukamatwa sasa wanakimbilia katika chaka la wezi huko cdm

Mkuu BigMan ina maana wamo kwenye ile sinema aliyotengeneza mama Kilango kwenye zile CD zake tatu?
 
Last edited by a moderator:
Wapo wanaccm wengi wenye uwezo kuziba nafasi hizo hao wameningia Chadema kufuata mkumbo tu vuguvugu tu CCM haitaterereka kwa wanachama wasio na msimamo.

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
mkuu Kimbunga walio hama ni wenyeviti wa vitongoji hivyo kuna chaguzi zitafanyika na chadema bila shaka tutazibeba...
 
Last edited by a moderator:
Hapa JF napataga raha kama hizi

Suzie binafsi jukwaa la siasa ni karaha tu..mara bil 300 zimefishwa uswisi, mara pesa ya rushwa ya rada inaitwa chenji, mara usalama wa kikwete wataka kumuua dr ulimboka..
 
Last edited by a moderator:
tatzo lake anatema xana mate, wazee wa gwanda muanze kunoa kadi zenu za kupigia kura mapema ili tuchukue nch 2015 mcje mkawa mnapga blaablaaa tu kumbe kura hampgi
 
ni watatu na kunamwingi nae kahamia chadema yeye anatoka kata ya matevesi...


Hii hbr ni njema karibu kwa jamii nzima ya Watanzania wapenda mabadiliko.

Hili la hapa Mateves ni kwmb liko wazi kwa karibu kila kata wanataka wajivue gamba na wanachosubiri ni M4c iweke kambi pale Wilaya ya Arusha na ndiyo tutasikia karibu Wilaya yote wamejivua gamba na kuvaa GWANDA,na kwa mtazamo wa haraka haraka kutokana na hali ilivyo hakika nawaambia ya kwamba Wilaya ya Arusha itabaki na jina tu ya kwmb ccm walikuwepogo!

M4C twanga kotekote!
 
Ndo tuseme kama msemavyo ,CCM haitakiwi ,sa hao watakuwa wameingia kaburini ,kuzimu au motoni ?
 
Mama Kilango amezaliwa Kihurio kata ya Uzambara. Sasa kama hata kijijini kwake wana CCM wanahama basi hali ni mbaya sana. Wapare wakisema NO basi ni NO kweli, hakuna cha kuwarudisha nyuma. Daniel Yona aliambiwa asigombee hakusikia matokeo yake akashika nafasi ya tatu nyuma ya mama Kilango na mama Naghenjwa Kaboyoka.
 
,ccm is a bush of corruption,exploitation,oppression ,humiliation,robbering of national resources and theft dominated by managers as you can not call them leader due to fact they have ideologically and practically failed to conquer influence froM the citizens and move the nation a step ahead politically,economically and socially since 1961 to date there4 should be jailed as offender .M4C
 
CHADEMA kiboko, inaendelea kudunda hata katikati ya frustrations za ulimboka!!!
 
Back
Top Bottom