wenyejii!!

wenyejii!!

mi nakupokea kwa miguu yote karibu sana.
 
im so grateful kuwa the part of JF naomben mnipokee kwa mikono 2

mkuu Ramadhan,karibu sana kwenye jiji la maraha chitchat (kifupi cc).
Tahadhari:Ukikuta ngedere mjini jua ana mwenyewe,warembo wote humu ndani wako overbooked mpaka tunaparurana makucha,so don't touch,ka vipi katafute wa kwako uje naye hapa cc,vinginevyo tutahakikisha aidha unachomwa na kitu chenye ncha kali au unapata brain konkasheni.
kopi: Kongosho....fuatilia nyendo za Rama
kopi: TANMO......Rama akienda tu nje ya mstari mtundike front page
 
Last edited by a moderator:
Vema. Welcome.
Ila nipe tofauti kati ya mbili na miwili na hii 2.
 
shem wangu na wewe unatupeperushia ujue
usimtishe sana mgeni!
 
Back
Top Bottom