Wenyeji wa Zanzibar, naombeni muongozo tafadhali

Sawa mkuu, shukrani sana.
Pia naomba kuuliza maswali haya mawili;
1. Shamba gani ina hotel nyingi zaidi?
2. Shamba gani ina site nyingi za ujenzi?
Nenda matemwe,na kiwengwa...pia numgwi...zipo nyingi sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…