aliekatakamba humutuu
JF-Expert Member
- Feb 1, 2024
- 1,252
- 2,094
Hata mimi kuna muda huwa ninajifungia ndani na taulo kama mbili nikiwa nalia sana pale ninapokumbuka kuwa kuna siku na mimi nitazaa mtoto wa kike 😭😭 daah inauma sanawangu wa pili ambae ni binti nililia sana
shida tupu yaaniHata mimi kuna muda huwa ninajifungia ndani na taulo kama mbili nikiwa nalia sana pale ninapokumbuka kuwa kuna siku na mimi nitazaa mtoto wa kike 😭😭 daah inauma sana
hakuna kitu kama hicho.mimi wakwangu nawalea kikamanda nawafanyisha kazi za kiume.Tupo imara sana kijana na tunauhakika wa kupata wajukuu. Hao wakiume ndo wanakuwa akina anko nani sijui wanakaribia vibaya. Watoto wote tuwalee kadili ya uwezo wetu na watakuwa sawa tu.
Japo hakuna budi ya kuukubali tu ukweli ila haimaanishi kuwa haiumizi.Una akili ndogo mno, mke wako aliyekuzalishia hao watoto alifikaje hapo bila kukuletea hizo shida?
hujaelewa mada yangu.nimesema wenye watoto wakike tuUna akili ndogo mno, mke wako aliyekuzalishia hao watoto alifikaje hapo bila kukuletea hizo shida?
Mtoto umuleavyo ndivyo akuavyo.Hakuna watu nawacheka kimoyomoyo kama washkaji wenye watoto wakike tupu.
Mimi mkewangu alipo jifungua mtoto wangu wapili ambae ni binti nililia sana niliwaza akija kukua itakuwaje yani nilikosa majibu nikawaza je wenye watoto wakike tupu wanajisikiaje ukizingatia mtoto wakike nidhaifu sikuzote mda wowote anapewa mimba yani shida tupu uvumilivu hawana changamoto kidogo tu wanaanza kujiuza😁
Hapa nawaza huyu wangu akifikia umri wakubarehe nitamhendo vipi asichezewe😕😕
Malaya na single Maza wanachekesha jamaa sio Dada yako au kama sio Mwanao.Hakuna watu nawacheka kimoyomoyo kama washkaji wenye watoto wakike tupu.
Mimi mkewangu alipo jifungua mtoto wangu wapili ambae ni binti nililia sana niliwaza akija kukua itakuwaje yani nilikosa majibu nikawaza je wenye watoto wakike tupu wanajisikiaje ukizingatia mtoto wakike nidhaifu sikuzote mda wowote anapewa mimba yani shida tupu uvumilivu hawana changamoto kidogo tu wanaanza kujiuza😁
Hapa nawaza huyu wangu akifikia umri wakubarehe nitamhendo vipi asichezewe😕😕
Mkuu kuna wabeba vyuma kabisa lakini ni kundi moja au nisizungumzie upande huo ila tulee watoto vyema bila kujali ni wakike au wakiumehakuna kitu kama hicho.mimi wakwangu nawalea kikamanda nawafanyisha kazi za kiume.
hao kina anko t walikosa malezi ya kiume wakalelewa kikike kike
bado shida iko palepale.hasa akibaleheMtoto umuleavyo ndivyo akuavyo.
Ni nadra sana mtoto umemlea vizuri akabadirika sana.
Halafu kumlea mtoto si tu kumwambia fanya hivi na usifanye hivi.
Lazima na wewe uyaishi unavyohimiza awe.
Mazingira pia yanayo mzunguka, marafiki anaoshinda nao wanamchango mkubwa kwenye tabia yake.
Kama unataka kuwin kuwa, rafiki yake wa kwanza. Hapo utakua umeua ndege wawili kwa jiwe moja.
kweli kabisa halafu wakiwa wanao sasaMalaya na single Maza wanachekesha jamaa sio Dada yako au kama sio Mwanao.
Mnasumbuliwa na uoga tu Mkuu, be a man , wajibika kama kawaida sehemu ya malezi ya binti yako, hayo ya ukubwani ni maamuzi yake binafsi.Japo hakuna budi ya kuukubali tu ukweli ila haimaanishi kuwa haiumizi.
Una Mawazo ya kizamani, mbona hujiulizi Kwa nini wewe una mama na Bibi!Hakuna watu nawacheka kimoyomoyo kama washkaji wenye watoto wakike tupu.
Mimi mkewangu alipo jifungua mtoto wangu wapili ambae ni binti nililia sana niliwaza akija kukua itakuwaje yani nilikosa majibu nikawaza je wenye watoto wakike tupu wanajisikiaje ukizingatia mtoto wakike nidhaifu sikuzote mda wowote anapewa mimba yani shida tupu uvumilivu hawana changamoto kidogo tu wanaanza kujiuza😁
Hapa nawaza huyu wangu akifikia umri wakubarehe nitamhendo vipi asichezewe😕😕
tulia wewe nipate mbinu za kumlea binti yanguAisee unaandika hivi harafu na wewe unaitwa baba huko nyumbani kazi ipo aisee kama wazazi ndio jamii hii ndoa zitaendelea kuwa na changamoto sana..
soma kichwa cha uzi mkuu.mimi mwenyewe ninae binti mmojaUna Mawazo ya kizamani, mbona hujiulizi Kwa nini wewe una mama na Bibi!
Wamefanyaje? Comment yangu umeielewa pia?hujaelewa mada yangu.nimesema wenye watoto wakike tu