Hawaki
JF-Expert Member
- Mar 29, 2017
- 755
- 1,055
Labda hataki kulikubali gazeti letu.Sighting problem?
Labda hataki kulikubali gazeti letu.Sighting problem?
Sighting problem?Source P'se......
Mtu ni graduate na uzoefu hadhimu leo unafikiria kumpa QT, Makubwa hayaHuruma iliyobora ni kuwapa chance warudi darasani QT watafute vyeti halali, halafu baada ya hapo qualifications zao nyingine zitambulike kuwa ni halali!. otherwise hawa wameshakuwa condemned to a very tough psychological torture!
Kipindi cha Mkapa wale walimu wazee wa UPE walipigwa presha warudi shule kama wanataka kuendelea na ualimu au Wapigwe chini, basi wale wazee walikomaa na shule na kuna waliofanikiwa kupata qualifications, kwa hiyo na hawa wenye vyeti feki wakipewa choice ya kurudi shule au kutumbuliwa naamini watarudi shule na watapata credits tu.
Hao ni binadamu na ni watanzania wenzetu, ni vema serikali kuwahurumia, binafsi naunga mkono kwa hilo. Mleta Uzi tuwekee chanzo.
Jaribu kuwa utu, pamoja na udanganyifu wa elimu zao lakini kuna mchango wametoa kwa taifaWakirudishwa lakini hawa nitachukia Kweli Kweli. Pia wakilipwa Mafao hawa moyo wangu utahudhunika Kweli Kweli. Pesa na mafao yao yabaki huku huku serikalini. Wameshakula haki yao. Salio litumike kuajiri watu wengine.
Hawa wakilipwa angalau kdg sio mbaaya maana hasara yao sio kubwa kama aliyotupa yule boss wako wa mafisadi kwa mkataba tata wa kufua umeme!.labda 2020 uchaguzi ukiwadia vinginevyo wanaweza kuwa kama wale wazee wastaafu wa Jumuiya ya AAfrika Mashariki.
Nadhani hii ni njia nzuri sana ya ku-handle jambo hili. Kuna mtu namfahamu alikuwa miongoni mwa top brain wakati akichukua Masters yake, na isitoshe Serikali imempeleka nje mara kadhaa na hata sasa hivi yuko nje ya nchi na huko alipo ni lulu, kwa ifupi yuko serious na anaijua kazi. Unfortunately, jina lake nimeliona miongoni mwa waliogushi cheti cha form four. Definitely plan ya namna hii inaweza kuliokoa taifa kupoteza brain za namna hii.
Hawa waliofoji vyeti vya kiujuzi binafsi siungi mkono kurudishwa kwa namna yoyote ile. Kwasababu, kwanza hiyo ndio fani ambayo wanaifanyia kazi, sasa kama amefoji atawezajie kuifanyia kazi. Hivi vya form four sababu zake zipo wazi sana. Sote tunajua zamani wanafunzi walikuwa wazuri darasani, ufaulu ulikuwa mzuri lakini hakukuwa na shule nyingi za kuchukua wanafunzi wote kama ilivyo sasa ukizingatia mambo ya private na QT hayakuwa kama yalivyo sasa. Ni jambo la msingi kutambua hili.Kweli na mie naunga mkono. Ila kosa walilofanya la kughushi si sawa hata kidogo. Iwe fundisho kwa wengine kutokujihusisha tena kughushi katika ngazi zote zikiwemo certificates/diplomas na degrees zinazotolewa katika vyuo vyetu. Wapo ambao hawajafoji vya form 4 lakini nilivyotaja hapo juu wamefoji.
gazeti uhuru..teeetttteeerrBaada ya kilio kikuu kuhusu hatima ya maisha ya watumishi waliobainika kuwa na vyeti feki hivyo kuondolewa kazini, hatimae serikali imekisikia na inaandaa mpango wa kuwalipa watumishi hao kwa kuwa wamehudumu katika nafasi mbalimbali serikalini kwa muda mrefu, Waziri ofisi ya Rais menejimenti ya utumishi wa umma na utawala bora Angellah Kairuki ameeleza hayo kwa kuthamini michango ya watumishi hao.
Aidha Katibu Mkuu Utumishi Laurean Ndumbaro anategemea kutangaza majina wengine ya watumishi wa serikali kuu wenye vyeti feki ifikapo jumatatu.
Chanzo: Gazeti Uhuru
Ni vizuri sana serikali imefanya! Naona gazeti LA Uhuru la Leo limebeba habari hiyo.
wameandika front phod??Ni vizuri sana serikali imefanya! Naona gazeti LA Uhuru la Leo limebeba habari hiyo.
Nina imani hujasoma hii habari mpk mwisho au umesoma heading tu na kukimbilia kukomenti ili uwe wa kwanza ku reply.Source P'se......
Siamin kama kuna video tuwekee hapa ili tuamin
Most likely scenario.labda 2020 uchaguzi ukiwadia vinginevyo wanaweza kuwa kama wale wazee wastaafu wa Jumuiya ya AAfrika Mashariki.
Sighting problem?
Mtu ni graduate na uzoefu hadhimu leo unafikiria kumpa QT, Makubwa haya