Nawashauri wenye viwanda vya kutengeneza pombe za viroba wawahi mahakamani kuweka zuio na au kudai fidia ya hasara itakayotokana na zuio la kutengeneza pombe hizo.
Viwanda hivyo vilipewa vibali kwa ajili ya kufanya hivyo na wengi wamekopa mabenki, sasa serikali ilikuwa wapi wakati wanatoa hizo leseni?