gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,708
- 18,332
Mimi nilitaka Fanya biashara ya maharage na mchele 2004 toka mbeya,sikuwa najua chochote zaidi ya kuuliza watu jirani waliokua wakifanya,baadhi yao wala hawakuwa wakienda mbeya bali,wanaagiza tu toka darugenini lazima uwe na uzoefu hata kidogo, kwenye kilimo yes ila biashara hapana nakataa