G
guest-1788672427
Guest
- Thread starter
- #41
AhsanteAtafute mtu mzoefu asije kuuziwa mazao ambayo hayajakauka mwisho wa siku ya kavunda ndani.
AhsanteAtafute mtu mzoefu asije kuuziwa mazao ambayo hayajakauka mwisho wa siku ya kavunda ndani.
KaribuHata hiyo siyo vibaya ukinielewesha, naweza kuja pm ?
Mtego ? Ukiwa una maanisha nini ?hahahah! Mwenyewe ni biashara ninayoifanya mpaka now, ila nimehisi mtego kabisa huu nikapita kama siuoni uzi.
Ahsante MkuuShida ya kuhifadhi mahindi ni wadudu wabunguaji na kupata dawa ya kuwazuwia kipindi hiki cha dawa fake ni mtihani
Ila kuna mifuko inaitwa Kinga ñjaa,ina mifuko miwili ya plastic ndani kwa ajili ya kuwanyima hewa wadudu na hivyo kuyafanya mazingira ya kuishi humo kama sayari ya zebaki/Mercury,mifuko hiyo huuzwa elfu tano
Usiamini mtu akununulie mzigo akiwa katavi, watanzania siyo waaminifu
Suala la mizani ni nyeti sana kwenye biashara ya nafaka
we nenda tu mahindi na karanga mwezi wa 3 bonde lote la ziwa rukwa ndo mda wake huo, mengineyo watakusaidia waliopo huko Katavi!, hebu tuendelee kukimbizana hapahapa jijini.Mtego ? Ukiwa una maanisha nini ?
nimekaa sana pale kahama ila sijawahi kuona msukuma mshamba pale. Nilikuwa nauza spare za pikipiki isaka road jirani na chasama bolts and nut.Asante boss kwa kunisahihisha.
Nawakilisha WASUKUMA Kutoka MANZESE KAHAMA - SHY.
Hongera sana, Karibu tena Kahama.nimekaa sana pale kahama ila sijawahi kuona msukuma mshamba pale. Nilikuwa nauza spare za pikipiki isaka road jirani na chasama bolts and nut.
Hahaha kabisa mkuu, maboss zetu nyinyi endeleeni kula raha mjini DSM maisha ni haya haya, ngoja na sisi tuendelee kujitafta.aende tu atajifunzia field hukohuko sisi wengine tuendelee kutandika tu bia kwenye jiji la Charamila hapa.
Ukapita kama unaaga maiti😁😁hahahah! Mwenyewe ni biashara ninayoifanya mpaka now, ila nimehisi mtego kabisa huu nikapita kama siuoni uzi.
Ilikua inatengenezwa sijajua kama imeshakamilikaNina Mwaka sipo Kahama, Kahama naendaga kusalimia wazazi nakurudi Dom kikazi.
Sijajua kama iko tayari, Barabara ya Manzese, Busoka, Nyambura hadi Segese ilikuwa bado moramu (vumbi)
Kama hutojali mkuu unaweza toa mawazo kidogo juu ya biashara ya mpunga,mimi binafsi nahitaji kuanza hiyo biashara msimu huu.Kwenye mahindi all the best ,ila ingekuwa mpunga ningekupa a,b,c
Mkuu kwema ingekuwa nzuri ungetoa Uzi wa mpunga tupate kujua kama utaridhiaKwenye mahindi all the best ,ila ingekuwa mpunga ningekupa a,b,c
Mtego ninase tu 👾liwalo na liwe acha tuunganishe nguvu naye tu,umoja ni nguvu.hahahah! Mwenyewe ni biashara ninayoifanya mpaka now, ila nimehisi mtego kabisa huu nikapita kama siuoni uzi.
kila la kheriMtego ninase tu 👾liwalo na liwe acha tuunganishe nguvu naye tu,umoja ni nguvu.