biashara ya mazao tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Olivia olivia

    JamiiForums Tanzania Wenye uzoefu na biashara ya mazao naomba ushauri

    Aliyewahi kufanya hii biashara ya kununua na kuuza mazao, Nataka kusafiri kwenda mkoa wa katavi, kipindi cha mavuno maana nimeambiwa huko wanalima sana mahindi, Nataka kununua mahindi, niweke stoo Baada ya muda bei zikiwa nzuri niuze Sasa sina mtu huko,na sina uzoefu wowote,
Back
Top Bottom