Wenye uwezo tupieni vitu vipya jukwaani

ijoz

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
731
710
Jukwaa hili ndilo lilinifanya mimi niifahamu JF.
wadau wamekuwa wanaleta hoja/mawazo yanayoleta msukumo chanya wa maendeleo ya mtu binafsi kwa kutoa mawazo mbalimbali ya kumwezesha mtu kupiga hatua.
Lakini naona jukwaa hili siku hizi limepoa sana,au wote wamehamia kwenye siasa na MMU,maana kule hoja mpya kila siku na zinachangiwa sana.
Ombi kwa mnaoweza kutupia mambo tofauti ya kijasiriamali,wekeni mawazo yenu.
Watu wanajifunza,wanatenda na kufanikiwa kupitia jukwaa hili.Miye ningekuwa na uwezo wa elimu hii ningekuwa namwaga hoja tofauti hapa za kijasiriamali.
 
Duh,
kweli. Labda hawa jamaa wapo kwenye ujasiriamali. Sasa tuongelee nini tuliobaki. Ah! Hii kitu haiitaji Phd, lete uzoefu, changamoto kwenye fani uliyopitia kama kianzio cha hoja na mjadala.
 
Back
Top Bottom