Wenye uhitaji wa mikopo ya haraka

napatikana wapi?
 
Hebu wekeni riba zenu wazi isije ikawa beipoti no.2

Hahaha bei port salute eee!! Kuna kampun nyingne mbona nzuri sana inatoa mkopo sa moja tu mpaka 24 tena hapo unakuta kuna dharula ni fasta sana pia unapewa kadi inayonyesha makato yako,mda wa kuanza na kumaliza liba kidogo sana huwez amin siyo ingine ni MABOTO ENTERPRISES LIMITED
wanapatikana kila wilaya tz ispo kuwa dar,dodoma na arusha,kama vip una nipm tu.
 
Riba ni asilimia ngapi?
 
Ok nikikopa milioni 5 nalipa sh ngapi, kwa muda gani
mkuu tunaanzia kutoa mikopo 200,000 hadi 10 milioni. mikopo yetu inaanzia muda miezi sita hadi miezi 60 .. unachagua wewe muda wako. karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…