Wenye uhitaji wa mikopo ya haraka

Wenye uhitaji wa mikopo ya haraka

Mnatoa mkopo wa miaka mingap na riba zenu zikoje ?weken wazi
mikopo yetu ni ya muda usiozid miezi 60. na riba ni 4% . karibu upate mkopo kwa haraka kwa watumishi wa serikali
 
kama hataki kugusia kuhusu riba basi asasi hiyo ni miongoni mwa vimeo vilivyoanzishwa kuwakamua walalahoi badala ya kuwasaidia! Anashindwaje kusema ni kama asilimia 15, 20, au 30?
mkuu riba yetu ni 4% ni nafuu sana
 
OK.mkopo ni muda gani mnao to a na hakuna mawasiliano yeyote na mwajili?
hakuna mawasiliano na mwajili wala hatuhtaji dhamana zako.. uwe mtumishi wa serikali
 
angalia vizuri tangazo kujua vigezo na masharti ya mkopo, mikopo yetu niya haraka sana
 
Kama harufu flan ya wizi hapa
We kila ukiulizwa mchanganuo wa riba unakwepa we na kampuni yako wote wezi tu
 
Hawa ni wezi,nimejaribu kuwasiliana nao ukiwaambia wakuelekeze ofisi ilipo wanakwambia njoo mjini tutakufata ulipo,ukisisitiza kufika ofisini wanakimbia sim hawapokei,utapeli at work
 
Toa ufafanuzi wa kutosha mkuu, utuvutia, tuone kama kuna unafuu wa riba kwenye kampuni
 
mkuu riba yetu ni 4% ni nafuu sana
Ngoja niwasaidie wengine wasio na taaluma ya finance,
Hii 4% ya riba ni hufanyika hesabu ya instalment(mwezi) ama ni ya lampsum amount mteja anayokopa?
Nawatahadharisha wahitaji mkopo muwe makini kwani sijui labda kwa TIB lakini sijawahi sikia taasisi yenye riba ndogo kiasi hicho.Ni vema akaeleza namna wanavyoikokotoa riba yao
 
Huyu jamaa anazingua Sana, hatoi majibu ya kujitisheleza, hawa ndio wale wale, kuliko kuingia mkenge wa chapchap ndani ya 24 hrs bora uende bank. Anashindwaje kuweka hapa mchanganuo wa hiyo riba. Mfano nataka 10 Mil kwa miaka miwili ,toa mchanganuo hapa wa monthly installment .
 
riba zetu tumezishusha mahesabu yako kwa riba tunafanya 1.6% kwa mwezi, 19% kwa mwaka, hii ni kwa watumishi wa serikali, karibuni sana , easy money
 
riba zetu tumezishusha mahesabu yako kwa riba tunafanya 1.6% kwa mwezi, 19% kwa mwaka, hii ni kwa watumishi wa serikali, karibuni sana , easy money
Sisi tusio watumishi wa serikali inakuwaje? Hao wa serikali wapo miguu ndani miguu nje shauri yenu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom