Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,076
- 6,774
riba zetu tumezishusha mahesabu yako kwa riba tunafanya 1.6% kwa mwezi, 19% kwa mwaka, hii ni kwa watumishi wa serikali, karibuni sana , easy money
acha utapeli wewe 1.6% mara 4% unafikiri wote humu ni wapumbavu?