Heheheheh! Kaaaaz kweli kweli! Papilopa noma hasa kwa kina pampula.
Haya soma hapo juu na fuatilia kwa makini utakuta anayetakiwa kuwa na hofu ni wewe na wala si mimi. Wanaume tunadunda tu nyie kinamama mnaibuka na kansa ya shingo ya uzazi. Mfumo dume mpaka kwenye maradhi kudadadadadadadeki!!
world aint safe no more!!!
When was it safe? labda kabla ya Adamu kufukuzwa bustanini!
Hahah...wakati tulioufikia sasa dhoruba zatoka kila mahala. Mathalani,miaka 30 iliyopita HIV haikuwepo lakini leo ni moja ya balaah miongoni mwetu.
Kila mara yanazuka mabalaah yasiyoepukika kirahisi, mbaya zaidi yanaishi miongoni mwetu.
Kweli vile vitulavyo vimehama kutoka nguoni mwetu na sasa vi mwilini mwetu!
Hahaha unajua Mentor na Zion Daughter wanaleta ushabiki tu lakini nna uhakika hawajaelewa pia. Vinginevyo ndo yaleyale ya kuchangia kabla hujasoma thread.
HPV ni kitu gani? Ndo nlitaka kujua na kuomba nifahamishwe. Nisaidieni ZD na Mentor kabla sijabadilisha mawazo.
Hili ndio la muhimu zaidi...maana kuna mambo mengine hatuwezi yakinga wala kuzuia.live a happy loving life, no matter what!