Wenye tabia ya kubadili wanaume

Wenye tabia ya kubadili wanaume

akenajo

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2012
Posts
1,634
Reaction score
613
Kwa ufupi
“Hata hivyo, kuna wanaume ambao tayari wameshakuwa na maambukizi ya HPV wanatembea na virusi, hawa tunawaita (high risk sexual male patner) wanaume hawa utakuta kila akioa mke anakufa kwa saratani ya shingo ya uzazi, lakini kamwe virusi hao hawawezi kumwathiri yeye.”source mwananchi leo,lets change our behavior ya kugegedana.
 
kha!!! so hao wanaume ni silent killers...kazi kwao wapenda dushelele
 
Tatizo ile kitu ikiona mwenzake inawaza kugegedana tu mkuu...hata sis hatupendi ..ila inatulazimu
 
Kwa ufupi
"Hata hivyo, kuna wanaume ambao tayari wameshakuwa na maambukizi ya HPV wanatembea na virusi, hawa tunawaita (high risk sexual male patner) wanaume hawa utakuta kila akioa mke anakufa kwa saratani ya shingo ya uzazi, lakini kamwe virusi hao hawawezi kumwathiri yeye."source mwananchi leo,lets change our behavior ya kugegedana.
Natamani niielewe hii thread lakini natoka kapa.

UFafanuzi tafazali....
 
God have mercy!
Tumekwisha, gonjwa limekuja pabaya
 
Hizo ni ndoa gani hata hakuna kupimana HIV kabla ya harusi???
Mkuu umemwelewa huyu mtu unisaidie? Hiyo HPV anayosema ndio alimaanisha HIV au?..... Afu kila akioa? Kwamba anaweza kuoa wake lets say zaidi ya watano au? Hiyo itakuwa miaka mingapi?
Kwa ufupi
"Hata hivyo, kuna wanaume ambao tayari wameshakuwa na maambukizi ya HPV wanatembea na virusi, hawa tunawaita (high risk sexual male patner) wanaume hawa utakuta kila akioa mke anakufa kwa saratani ya shingo ya uzazi, lakini kamwe virusi hao hawawezi kumwathiri yeye."source mwananchi leo,lets change our behavior ya kugegedana.
 
sio lazima aoe wote
kajumlisha na nyumba ndogo na nyumba ntobo

afu sidhani kama ni HIV, kwani inaleta kansa ya shingo ya kizazi?

Mkuu umemwelewa huyu mtu unisaidie? Hiyo HPV anayosema ndio alimaanisha HIV au?..... Afu kila akioa? Kwamba anaweza kuoa wake lets say zaidi ya watano au? Hiyo itakuwa miaka mingapi?
 
sio lazima aoe wote
kajumlisha na nyumba ndogo na nyumba ntobo

afu sidhani kama ni HIV, kwani inaleta kansa ya shingo ya kizazi?
Umeona eh? Angetuwekea full story ili tujisomee wenyewe. Hivi vipisi vya habari bana dah! Si unaona hata watu8 kishaingia chaka?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu umemwelewa huyu mtu unisaidie? Hiyo HPV anayosema ndio alimaanisha HIV au?..... Afu kila akioa? Kwamba anaweza kuoa wake lets say zaidi ya watano au? Hiyo itakuwa miaka mingapi?

Mbona wasiwasi mingi??amegusa ikulu?
 
tunataka kuelewa tu.

Si unajua wengine ujana haujatuisha.
Hahaha unajua Mentor na Zion Daughter wanaleta ushabiki tu lakini nna uhakika hawajaelewa pia. Vinginevyo ndo yaleyale ya kuchangia kabla hujasoma thread.

HPV ni kitu gani? Ndo nlitaka kujua na kuomba nifahamishwe. Nisaidieni ZD na Mentor kabla sijabadilisha mawazo.
 
Last edited by a moderator:
hao papiloma virus wa cancer hukaa kwenye njia ya uzazi (dushelele) la mwanaume wasimdhuru chochote but wanadhuru female
 
umeona sasa jibu la Stamina?

Kumbe HPV ni Human Papiloma Virus.

Yaani sasa hivi ni ndomu hadi home, asijekuwa mtu kaenda jichotea ma papilopa huko.

Hahaha unajua Mentor na Zion Daughter wanaleta ushabiki tu lakini nna uhakika hawajaelewa pia. Vinginevyo ndo yaleyale ya kuchangia kabla hujasoma thread.

HPV ni kitu gani? Ndo nlitaka kujua na kuomba nifahamishwe. Nisaidieni ZD na Mentor kabla sijabadilisha mawazo.
 
Last edited by a moderator:
Umeona eh? Angetuwekea full story ili tujisomee wenyewe. Hivi vipisi vya habari bana dah! Si unaona hata watu8 kishaingia chaka?

Nimejaribu kufuatilia mkuu, hiyo HPV ni makitu mengine kabisa...at first I thought ni HIV na nilijua ni typing error ndio maana post yangu ilikua fupi tu in a puzzled way.
Huyu mleta mada kaleta mada kubwa halafu maelezo kiduchu.
 
Last edited by a moderator:
Human papillomavirus (HPV) is a virus
from the papillomavirus family that is
capable of infecting humans.
While the majority of the known types of HPV cause no symptoms in most people,some types can cause warts (verrucae), while others can – in a minority of cases – lead to cancers of the cervix, vulva, vagina, penis, oropharynx and anus.
Most HPV infections in young females are temporary and have little long-term significance. However, when the infection persists — in 5% to 10% of infected women — there is high risk of developing precancerous lesions of the cervix, which can progress to invasive cervical cancer.

"Kwa hisani ya Wikipedia"

NOTE
Kwa hiyo hata wanaume wapo hatarini si wamama tu, dushelele na kinyeo pia vinaweza patwa na saratani kutoka kwa hao HPV
 
umeona sasa jibu la Stamina?

Kumbe HPV ni Human Papiloma Virus.

Yaani sasa hivi ni ndomu hadi home, asijekuwa mtu kaenda jichotea ma papilopa huko.
Heheheheh! Kaaaaz kweli kweli! Papilopa noma hasa kwa kina pampula.

Mbona wasiwasi mingi??amegusa ikulu?
Haya soma hapo juu na fuatilia kwa makini utakuta anayetakiwa kuwa na hofu ni wewe na wala si mimi. Wanaume tunadunda tu nyie kinamama mnaibuka na kansa ya shingo ya uzazi. Mfumo dume mpaka kwenye maradhi kudadadadadadadeki!!
 
Back
Top Bottom