LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,727
- 13,466
Now watu wamesha-relax baada ya kusikia Tz haina mgonjwa wa Corona mara tukasikia wamebaki wanne, mara tena kaja Waziri Mkuu anasema wamebaki 66, mnaona jinsi hawa watu sio wa kuwaamini.
Sasa basi ndugu zangu mnaosumbuliwa na Presha, Kisukari, Pumu hata VVU pia endeleeni tu kuvaa Barakoa msisisikilize maneno ya watu nyie fanyeni tu kama mnajikinga na vumbi, maana Covid inaondoa watu wengi wenye haya magonjwa ikikukuta uwezekano wa kupona ni mdogo kwamujibu wa WHO.
Usijifananishe na jirani yako maana yeye anaweza kuwa hana hayo magonjwa Covid ikaja kama mafua tu na kinga yake ya mwili ikapambana na akapona kimya kimya lakini mtu ukishajijua immunity yako haipo strong we fanya kuvaa mask tu unaopokuwa kwenye mikusanyiko usiiache maana yakija kukukuta kifo ni chako mwenyewe.